Mke anahitajika haraka

go back

Member
Apr 24, 2024
27
24
Mimi ni:
Kijana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.

Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
 
Mimi ni:
Kujana: 35

Poor Brain NJOO nisaidie u jobless na kula Bure na kulala Bure kunanikosesha mume 😭😭😥😥😥
 
🤣🤣 ogopa mtu asiye eleweka anataka mwenza dini yoyote. Hapana dini inaitwa yoyote, ndio maana kuna Eva na Hawa
Aliyekwambia dini Fulani hatendi dhambi nani? Yesu mwenyewe alisema dini ya kweli ni Ile inayojali shida za watu. Mfano, kuwa na matendo mema. Sasa kama wewe dini yako inahalarisha matendo mema, hiyo ni yakumcha Mungu. Hivyo unafaa.
 
Mmmh kaka samahani unatulisha matangopori,Yesu alisema wapi hayo maneno?🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom