Mke anahitajika haraka

Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.

Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
Hivi huko mtaani umekosa mke mpka unakuja kutafuta huku JF siamini hii kitu
 
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.

Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
Unique Flower To yeye Joannah mume kapatikana huku
 
Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.

Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
Hao ambao wanajua tu kusoma na kuandika na wana kazi inayowaingizia kipato wamejaa tele pale kimboka. Mimi nilichukua mmoja pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom