Mke anahitajika haraka

Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.

Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
Huwezi kuoa wa dini yeyote, labda muwe kwenye mkataba wa kiserikali
 
Poor Brain NJOO nisaidie u jobless na kula Bure na kulala Bure kunanikosesha mume 😭😭😥😥😥
😂😂😂😂😂😂😂 Wee nilikuambia nitafutie mshangazi huko dasalamu..
Then
Mi nakupa kazi hapa kwa kitongoji chap uandikishe wapiga kula...
Huyo mume utampatia huku huku 😂😂😂😂

Na ulivo cute hivo an ndo kabisa..
Kuhusu hofu ya Mungu wee ni 100%
We ukifika huku nkuhungu mbona mke wa mtu tayari 😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂 Wee nilikuambia nitafutie mshangazi huko dasalamu..
Then
Mi nakupa kazi hapa kwa kitongoji chap uandikishe wapiga kula...
Huyo mume utampatia huku huku 😂😂😂😂

Na ulivo cute hivo an ndo kabisa..
Kuhusu hofu ya Mungu wee ni 100%
We ukifika huku nkuhungu mbona mke wa mtu tayari 😂😂😂😂
😁😁😁🤣🤣🤣
 
Hapo vigezo ni kuwa ilimradi mke awe anapumua tu maana hata wewe hujasema kama unakazi ya kufanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom