matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  2. N

    Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  3. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  4. B

    Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

    1. Kibri chote kwishney, amri ni moja; kila mtu kaufyata: Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja! 2. Iran kaombwa kutulizana, Natenyahu kuufyata; mazungumzo kuwa ya kiutu uzima: 3. Hapo sasa kilichobakia "face saving" yaani kuwatoa wacheza kimaso maso. Tayari...
  5. K

    KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  6. Victor Mlaki

    Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
  7. proton pump

    Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  8. ndege JOHN

    Sio kila hela kubwa unayopata ujengee au ufanyie biashara nyingine kula Bata ila kumbuka kununua mashamba bado utaonekana mjanja tu

    Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
  9. Agri Acres farm

    INAUZWA Nauza miche ya matunda na viungo

    Kwa mahitaji ya Miche ya muda mfupi ;- *Miembe *Michungwa *Chenza *Parachichi *Passion *Pera *Apple Miche ya viungo -mdalasini -mchaichai -mint -rosemary -ukwaju -iliki n.k **Wasiliana nasi kwa namba 0683017311 call&Whatsapp **Pia unaweza kufika kwenye kitalu chetu Tunapatikana morogoro mjini...
  10. Edward Mwesongo

    Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

    Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia Miembe aina zote. Parachichi aina zote za biashara na nyumbani. Mipera iko...
  11. U

    Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

    ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k. Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
  12. GoldDhahabu

    Nini kitasaidia mti wa mwembe kuzaa matunda?

    Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana. Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka Jana. Imekuwa kinyume chake. Katika miembe yote 5 iliyopo, ni mmoja tu ndiyo uliozaa, tena matunda...
  13. Shining Light

    Fahamu baadhi ya umuhimu ya kula matunda nusu saa kabla ya kula mlo

    Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti. Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
  14. A

    KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  15. Venus Star

    Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  16. D

    Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango. Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
  17. chiembe

    Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

    John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
  18. Melki the Storyteller

    Biashara ya matunda imemtandika mpenzi wangu vikali

    Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani Other Cost...
  19. Investaa

    Jinsi ya kufaulu kwenye biashara ya matunda!

    Habari wana business! Leo nataka nitoa mwongozo kamili wa kuanzisha biashara ya matunda , ni biashara ambayo inadharaulika lakini ukikaa kitaalamu ni biashara nzuri yenye faida kubwa ingawa wengi hatuna mpango nayo. Kuanzisha biashara ya matunda inaweza kuwa fursa nzuri ya kibiashara kama...
  20. Agnes Madaa

    Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

    1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa...
Back
Top Bottom