Shalom,
Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi.
Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia
Miembe aina zote.
Parachichi aina zote za biashara na nyumbani.
Mipera iko...
Habari za mida wakuu,
Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na mgongo Na joints.
Hilo zoezi unafanya kila siku asubuh Na jioni Kwa muda wa dk 15 mpaka 30...
Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu.
Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.
Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma.
Sasa
Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
Kwa Madiba kuna mambo,
Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma
Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
Natumain wazima na weekend inaenda vizuri
Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki
Mahitaji
Samaki aliekaangwa
Kitunguu maji na kitunguu swaumu
nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi
Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo )
Pilipili manga kama utapendelea
Nazi Kama...
Natumaini mkopoa
Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi
Mahitaji
Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako
Iriki au vanilla
Sukari /chumvi ni vile upendavyo
Yai moja au mawili
Maji ya baridi
Hatua...
Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu.
Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo.
Msemaji wa kamandi ya polisi ya Sofala, Dércio Chacate, amesema Watoto waligundua sehemu za miili hiyo kwenye mfuko wa plastiki...
Wapendwa poleni na majukumu.
Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke.
Wanahisia kweli za kimapenzi?
Karibuni.
Mmiliki wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za mwili.
Waendesha mashtaka walisema Megan Hess, 46, na Shirly Koch, 69, walikata maiti 560 na kuuza viungo vya miili bila idhini kati ya...
MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk
Mashine MPYA
Bei 1,500,000/=
Mashine ipo DAR
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa.
●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k
●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
Wanajamii wa jukwaa hili, naombeni wenye utaalam mnipe muongozo katika hili. Mwaka juzi mwezi wa sita nilikuwa niki-experience kitu cha tofauti sana. Ilikuwa inatokea tu automatically ninakunja vidole viwili yaani dole gumba na kidole kinachofuatia baada ya dole gumba halafu vinabaki vidole...
Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu....
Ukrainian embassies in at least five...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.