Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
  • Sticky
Habari zenu Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka..... Nini madhumuni hasa 1)kwa wale...
30 Reactions
338 Replies
270K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada. Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula? N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme.
1 Reactions
6 Replies
115 Views
Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko? Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa...
25 Reactions
271 Replies
5K Views
Hi all Naomba kufahamu namna ya kujua sufuria bora za non stick maan saiv kila kona non stick. Haya wataalamu na wazoefu wa vyombo hivi tiririkeni. Natanguliza shukrani CL
1 Reactions
1 Replies
79 Views
Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka...
2 Reactions
11 Replies
434 Views
Wapishi wa nyama katika migahawa, Bar, hotel, sherehe na hata majumbani hakikisheni nyama zinaiva vizuri na kuwa laini kabisa. Iwe nyama ya kuchemsha, kuchoma au kukaanga nyama inatakiwa iwe...
18 Reactions
87 Replies
1K Views
Nimeenda kwa rafiki yangu nikafungua friji lake nikajionea maajabu ya dunia. Mambo ya aibu kwa mtoto wa kike. Hata friji la nyumbani kwa mama huwa nahangaika sana kupanga, kutoa vitu visivyo...
13 Reactions
228 Replies
54K Views
WAkuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa...
1 Reactions
18 Replies
750 Views
Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwape tahadhari kabla ya kuwatakia usiku mwema Ni kwa wale Ndugu zangu wanaopenda kunywa uji wa ulezi kama mimi hapa. Huu ni utafiti usio na chembe ya uongo...
4 Reactions
26 Replies
731 Views
Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi. Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo...
1 Reactions
7 Replies
144 Views
Linapo kuja swala la number watu wengi ni wavivu sana, na tumebakia kufuata mikumbo tu kwamba Umeme ni ghari sana kupikia na gas ni rahisi sana ila kwenye hesabu ni tofauti kabisa. Unit 1 kwa...
59 Reactions
254 Replies
18K Views
Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink Nimeambiwa nijiandae...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Natumaini wazima Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu...
12 Reactions
31 Replies
390 Views
Habari wanajamii naitwa Samwel Mayala ninatafuta kazi za upishi ninauzoefu wa miaka 19 katika tansinia ya hotel ninaishi Dar es salaam NInapika chakula Cha aina mbali mbali kama vile chakula...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
13 Reactions
54 Replies
984 Views
Habari zenu wapenzi Karibuni tena tujifunze jinsi ya kupika tambi za mayai.✍🏻 Ni rahisi sana wala hutumii muda mrefu, niiingi moja kwa moja kwenye mada Owky. Mahitaji. Tambi chumvi maji...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Inakuwa na mchanganyiko wa Soseji Mayai mawili ya kukaanga Uyoga Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi Maharage yasiyokaangwa steak ndogo ya...
0 Reactions
2 Replies
200 Views
Back
Top Bottom