Hili hauto juta mkuuWana jamvi habari.
Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme.
View attachment 2974596
Typing error mzee.Ovena
Inaitwa Oven mzee baba
Typing error mzee.