Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,594
16,250
Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink

Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.

IMG_20240422_171620.jpg
 
Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage
Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink

Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.

🙄
Hapa ukishavimbiwa ni mwendo wa kucheza na stop engine mpaka raia wa kutunza mazingira watengue kauli
 
Next time shushia na bakuli la uji mwepesi mno uliolala, usiwe wa moto. Inaimarisha utumbo na kuiandaa njia ya kutolewa hewa chafu isichubuke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom