Jinsi ya kupika tambi za mayai

Suhendra

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
1,066
2,455
Habari zenu wapenzi
Karibuni tena tujifunze jinsi ya kupika tambi za mayai.✍🏻

Ni rahisi sana wala hutumii muda mrefu, niiingi moja kwa moja kwenye mada

Owky.

Mahitaji.
Tambi
chumvi
maji
mafuta
kitunguu Thom
kinguu maji
Nyanya
Binzari
pilipili (sio lazima)

Kwanza kabisa
Wachemsha tambi (jinsi ya kuchemsha)

Watia sufuria jikoni maji kiasi na chumvi kidogo wafukia mpaka ikwive waweza follow instruction ya muda wa tambi kuiva kwenye pakti yako.

Baada ya kuhivisha waweka kando.

Wachukuwa fampen, watia jikoni waweka mafuta kidogo then wakaanga kitunguu Thom, kitunguu maji, Watia nyanya, binzari, pilipili wakoroga mpaka nyanya utakapo iva.

Then, watia tambi katika rosti Kisha wa pasulia mayai kwa juu, utakipa like wavyopika chips zege.

Baada ya hapo tambi zipo tayari kuliwa. Waweza kushushia na juice ya tende nk.

Welcome ✍🏻
download (4).jpeg
 
Welcome ✍🏻View attachment 2935180
We Kila kitu wataka kutia, una niambia nitie maji, mara nitie mafuta, wataka kila muda niwe natia tuu.

Na nikimaliza kutia una niambia nishushie na Juisi ya Tende.

Nataka nkuuulize hivi wataka kuniua we Mwananke ?

Wala hufi ila raha utaiyona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom