Kazi ya upishi

Enyimba

Member
Mar 10, 2016
43
67
Habari wanajamii
naitwa Samwel Mayala
ninatafuta kazi za upishi
ninauzoefu wa miaka 19 katika tansinia ya hotel
ninaishi Dar es salaam
NInapika chakula Cha aina mbali mbali kama vile chakula Cha wachina,wazungu pamoja na chakula Cha kihindi
Kwa mawasiliano zaidi namba zangu ni
0744054228/0657642225
asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom