Natafuta kazi ya Upishi

Wanajamii ninaitwa Samweli Mayala.

Mimi ni mpishi wa uzoefu wa miaka 18, natafuta kazi kwa yoyote atakayesikia anijulishe.

Namba zangu ni 0657642225.

Niko Dar es Salaam.

IMG_20230617_131159_335.jpg


Haya nikutakie kila la heri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom