kuuza

  1. TEAM 666

    Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
  2. Tommy 911

    Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  3. G

    Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  4. Yoda

    Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  5. OMOYOGWANE

    Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
  6. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  7. jingalao

    Lissu amedhihirisha kuwa Chadema inaweza kuuza nchi kwa uroho wa fedha

    Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kama muda wa kuandika Katiba mpya hautoshi, mbona wa kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha?

    Ninawasanua makada wenzangu wa chama chetu CCM, hebu tujaribu kulijibu hilo swali kimantiki!! Hoja za lissu tumeshindwa kujibu na hilo swali tunaweza kulijibu? Ifikie hatua tuache kujibu mipasho masuala mtambuka ya kitaifa na nchi yetu Kwa ujumla. Mzee Warioba ni mwanaccm na anaitaka Katiba...
  9. dr namugari

    Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

    Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
  10. Wadiz

    Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

    Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
  11. J

    Tunatengeneza Computer Aina Zote na Kuuza Spare

    Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC Ofisini/Nyumbani. Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama Batteries Chargers Keyboard Housing Hdd/SSD/Ram Memories Softwares Mbalimbali Tupo Ilala - Dsm 0718290779
  12. J

    Tunatengeneza Computer aina zote na kuuza Spare

    Tupigie tuje either Nyumbani au ofisini tuje kukuchekia Computer yako kama ni mbovu, Pia Tunauza Spare za Laptop na Desktop aina zote, Keyboard za Laptop Battery za Laptop/Desktop Charger za Laptop/Macbook Hdd/SSD/Ram memory Housing za Laptop Screen za Laptop Monitor Fremless Tupo Ilala - Dsm...
  13. NyegereBOY

    Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
  14. G

    Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo) Ni aidha jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako Anataka uhame atawale soko hio sehem Anataka kukutia adabu /...
  15. JanguKamaJangu

    Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
  16. N

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
  17. C

    Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani. Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo. Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa. Kazi ni Kuingiza...
  18. N

    Msaada kama naweza kununua dhahabu iliyochomwa

    Naomba kuuliza wakuu, Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo 1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi 2. Mtaji ni kiasi gani? 3. Faida ni kiasi gani kwa mfano mimi nina milioni moja -kwa mwezi naweza kuongeza mpaka shilingi ngapi? Kwa...
  19. neggirl

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
Back
Top Bottom