Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

Je Hili wazo litatua changamoto katika jamii yako ?

  • Ndiyo

  • Hapana

Results are only viewable after voting.

NyegereBOY

Senior Member
Mar 24, 2021
113
202
Habari ya uzima wanajanvi?

Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?

Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers tulionao hapa nchini kama Tigo, Vodacom na wengineo

Kutokana na utandawazi na maendeleo ya kasi katika karne hii matumizi ya huduma za internet yamekuwa makubwa kadiri siku zinavoongezeka hivo kufanya uhitaji (DEMAND) wa huduma hii kuwa mkubwa zaidi ila kwa bahati mbaya kwa nchi zetu hasa barani africa miundombinu ya kupata huduma
hii sio rafiki sana

WAZO LANGU SASA
Kwasasa upatikanaji wa huduma ya UNLIMITED INTERNET sio kubwa sana hapa nchini na hata hiyo kidogo inayopatikana imekuwa ghali kidogo ukilinganisha na kipato cha wengi wetu mfano (20Mbps inauzwa kwa Tsh, 100,000/=) hapo ukiachana na gharama za installation ya miundombinu ili upate huduma katika eneo lako

Sasa basi kwa kuliona hili nikawaza kwanini tusiweze kusambaza huduma hii kwa wale ambao wataweza kulipia huduma hii kwa siku na wakapata walau huduma ya Unlimited internet ambayo inaweza kumsaidia kwa shuli ndogo ndogo za hapa na pale kama kuperuzi mitandaoni,ufanyaji biashara online na kuwasaidia kupunguza gharama kubwa za bando tulizonazo mtaani kutoka kwa local providers Mfano GB 1 kwasasa ni 2100 au GB 35 kwa mwezi ni 50,000 sasa ukiangalia mtu huyu anatumia gharama kubwa sana pengine zisiweze kukidhi mahitaji yake kwa mwezi mzima.

MKAKATI ULIOPO
Kununua Unlimited internet kwa local providers tulionao hapa nchini iwe fiber net au wireless net na kisha kuisambaza kwa watu ambao hawana uwezo wa kumiliki hiyo huduma na kuwawezesha kulipia hiyo huduma kwa siku MFANO kununua 20Mbps kwa local providers na kuiuza kwa watumiaji wa chini walau kwa 10 user per 20 mbps hii itasaidia kuokoa gharama za watu wengi Imagine unapata kutumia unlimited internet kwa buku tu siku nzima nyumbani kwako imekaa poa eeeeeh? Sasa hii ndio idea yenyewe

Kufanikisha haya yote nilikuja kugundua sio wazo pekee na idea inaeeza kutekeleza hili bali pia na mtaji hasa wa baadhi ya vifaa wezeshi unaweza kufanya hili jambo kutekelezeka kiurahisi kabisa

MUWEKEZAJI
Kwakuwa hii huduma inahitaji uwekezaji pia basi niliona ku share hili wazo kwa wewe ambae unamtaji na hujafahamu niwapi hasa ungeweza kuwekeza na kupata faida za uwekezaji wako, nikutoe shaka na nikukaribishe kuwekeza kwenye hili wazo kwakuwa mimi pia ninaufahamu mzuri wa hii huduma lakini pia ni muajiriwa ambae nahusika na usambazaji wa hii huduma ya Dedicated and shared Internet kutoka local providers hapa nchini

MCHANGANUO WA UWEKEZAJI KATIKA HUDUMA AU WAZO HILI
1. Kwanza kabisa lazima tuwe na mtaji wa kununua Unlimited package kutoka kwa local providers ambapo vifurushi vyao huuzwa kwa kuangalia kipimo cha speed ya internet kinachofahamika kama Mbps ( megabite per second )
Hichi kipimo ndio huwezesha kujua hitaji na kiwango cha uhitaji kulingana matumizi ambapo kama nilivoeleza hapo juu kwa local providers wengi 20Mbps kwa shared Internet huuzwa 100,000 na kuendelea

2. Vifaa wezeshi ambavyo vitaweza kuwapa huduma mtu mmoja mmoja baada ya kupata internet kutoka kwa local provider bahati nzuri hivi vifaa sio ghali sana kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja japo kwa hapa Tanzania vifaa huuzwa kati ya 60,000 up to 90,000 per person

3.Masoko ya utoaji wa hii huduma, habari njema nikuwa masoko yapo mengi sana kiasi ya kwamba hii ni fursa pana yenye faida endelevu kuliko biashara nyingi mtaani unaweza kurudisha ghamaza za investment yako hata ya milioni 500 kwa muda wa miez 4 au 5 tu

NAMNA FAIDA ITAKAVOPATIKANA NA KUONA UWEZEKANO WA KURUDISHA GHARAMA ZA UWEKEZAJI WAKO KWA MUDA USIOZIDI MIEZI 5

Mchanganuo kwa yule mwenye mtaji wa 20Milioni tuone tunairudisha kwa muda upi.

Kama nilivyoeleza awali 20mbps huuzwa kwa 100,000 na pia 20mbs inauwezo wa kuhudumia hata watu 10 kwa matumizi ya internet ya kawaida ambayo ni unlimited kwahiyo nisawa na kusema

20mbps = 10 users (watumiaji )
400mbps = 200 users (watumiaji )

Naimani tunaelewana kidogo

20mbps = 100,000
400mbps = 2,000,000

1 user = 90,000 installation cost+ device
200 user = 18,000,000 device + installation cost

kwaiyo :
400mbps = 2,000,000
200 users = 18,000,000
TOTAL : 20,000,000 Capital

MCHANGANUO WA FAIDA

Kama mtumiaji mmoja utaamua kumchaji 1,000 kwa siku kupata huduma ya Unlimited internet inamaana kwa watumiaji 200 kwa siku utakusanya 200,000 na ukizidisha kwa siku 30 yaani mwezi utakusanya 6,000,000/=

Sasa 6,000,000 - 2,000,000 (gharama ya 400mbps kwa mwezi) = 4,000,000

Kwaiyo monthly unapata net profit ya 4,000,000/=

Ukiizidisha kwa miezi 5 yaani
4,000,000 × 5 = 20,000,000
Kwa lugha nyepesi miezi 5 inarudisha gharama za investment na kuanzia mwezi wa 6 nakuendelea unakula faida hata miaka 3 hata 10

Na hii miezi imefika sita kutokana na users device kwa hapa tanzania zinauzwa ghali ila kama utaagiza miezi ya kurudisha mtaji inafika 3

Kwa hizi details inatosha kwa yule mwenye nia ya uwekezaji

Hivo basi kama umtaji huo au zaidi ya huo nakukatibisha tuweze kufanya hii biashara na hata kabla ya kuwekeza hiyo pesa unaweza ukaanzajaribio kwa 1,000,000 ukaona malipo na inavyofanyiks kisha ukaingia kwenyr investment

Napatikana Dar es Salaam ila hii biashara inaweza kuekezwa popote tanzania kwenye eneo linalopatikana network ya 4G na hata 5G

Kwa mtu serious na unapatikana Dar es salaam tunaweza kuonana na ku discuss in more details na tukaona tunalifanikishaje hili

Pia kwa maswali nakaribisha mwenye swali kuhusiana na Idea hii

Mawasiliano : 0710020066 call & WhatsApp
 
Wazo zuri sana
 
Hongera ni wazo zuri sana likitekelezeka ila jiandae kukabiliana na washindani wako kibiashara kwani hawatakubali uwashinde kirahisi.

Wale wazee wa tozo, TRA, TCRA na mamlaka zinazohusika udenda utawatoka wakitamani uwekezaji wako.
 
Hongera ni wazo zuri sana likitekelezeka ila jiandae kukabiliana na washindani wako kibiashara kwani hawatakubali uwashinde kirahisi.

Wale wazee wa tozo, TRA, TCRA na mamlaka zinazohusika udenda utawatoka wakitamani uwekezaji wako
Ni kweli kabisa uzuri wa hii nikwamba hakuna wakushindana nae kwakuwa hao washindani ndio watoa hiyo huduma hivo kuna angle tu huyu anakula hapa na huyu anakula hapa mana kumbukumba Unlimited internet packages nitakuwa nachukua kwao pia
 
Sasa kuna changamoto nyingine utaishia nyuma ya nondo, hapo kumbuka unaharibu biashara za wakubwa!
Hapana hii ni halali hakuna biashara inayoharibika kumbuka mimi sitoweza kutoa huduma kama sina access ya kupata Unlimited package na hizi zinatolewa na hao network providers kwaiyo ni biashara halali na kumbuka hii sio kila mtu ataweza kupata hii huduma kuna baadhi ndio watapaswa kupewa na hii ipo kisheria sio kitu cha magendo kabisa
 
Tatizo huna leseni ya kufanya unachotaka kuufanya!
 
Yes unaweza pia kufuata kibali kwakuwa kinatolewa ila kwa small scale ya kimtaa tu unaweza ku cooperate na local network providers inawezekana
 
Habari ya uzima wanajanvi?

Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?

Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers tulionao hapa nchini kama Tigo, Vodacom na wengineo

Kutokana na utandawazi na maendeleo ya kasi katika karne hii matumizi ya huduma za internet yamekuwa makubwa kadiri siku zinavoongezeka hivo kufanya uhitaji (DEMAND) wa huduma hii kuwa mkubwa zaidi ila kwa bahati mbaya kwa nchi zetu hasa barani africa miundombinu ya kupata huduma
hii sio rafiki sana

WAZO LANGU SASA
Kwasasa upatikanaji wa huduma ya UNLIMITED INTERNET sio kubwa sana hapa nchini na hata hiyo kidogo inayopatikana imekuwa ghali kidogo ukilinganisha na kipato cha wengi wetu mfano (20Mbps inauzwa kwa Tsh, 100,000/=) hapo ukiachana na gharama za installation ya miundombinu ili upate huduma katika eneo lako

Sasa basi kwa kuliona hili nikawaza kwanini tusiweze kusambaza huduma hii kwa wale ambao wataweza kulipia huduma hii kwa siku na wakapata walau huduma ya Unlimited internet ambayo inaweza kumsaidia kwa shuli ndogo ndogo za hapa na pale kama kuperuzi mitandaoni,ufanyaji biashara online na kuwasaidia kupunguza gharama kubwa za bando tulizonazo mtaani kutoka kwa local providers Mfano GB 1 kwasasa ni 2100 au GB 35 kwa mwezi ni 50,000 sasa ukiangalia mtu huyu anatumia gharama kubwa sana pengine zisiweze kukidhi mahitaji yake kwa mwezi mzima.

MKAKATI ULIOPO
Kununua Unlimited internet kwa local providers tulionao hapa nchini iwe fiber net au wireless net na kisha kuisambaza kwa watu ambao hawana uwezo wa kumiliki hiyo huduma na kuwawezesha kulipia hiyo huduma kwa siku MFANO kununua 20Mbps kwa local providers na kuiuza kwa watumiaji wa chini walau kwa 10 user per 20 mbps hii itasaidia kuokoa gharama za watu wengi Imagine unapata kutumia unlimited internet kwa buku tu siku nzima nyumbani kwako imekaa poa eeeeeh? Sasa hii ndio idea yenyewe

Kufanikisha haya yote nilikuja kugundua sio wazo pekee na idea inaeeza kutekeleza hili bali pia na mtaji hasa wa baadhi ya vifaa wezeshi unaweza kufanya hili jambo kutekelezeka kiurahisi kabisa

MUWEKEZAJI
Kwakuwa hii huduma inahitaji uwekezaji pia basi niliona ku share hili wazo kwa wewe ambae unamtaji na hujafahamu niwapi hasa ungeweza kuwekeza na kupata faida za uwekezaji wako, nikutoe shaka na nikukaribishe kuwekeza kwenye hili wazo kwakuwa mimi pia ninaufahamu mzuri wa hii huduma lakini pia ni muajiriwa ambae nahusika na usambazaji wa hii huduma ya Dedicated and shared Internet kutoka local providers hapa nchini

MCHANGANUO WA UWEKEZAJI KATIKA HUDUMA AU WAZO HILI
1. Kwanza kabisa lazima tuwe na mtaji wa kununua Unlimited package kutoka kwa local providers ambapo vifurushi vyao huuzwa kwa kuangalia kipimo cha speed ya internet kinachofahamika kama Mbps ( megabite per second )
Hichi kipimo ndio huwezesha kujua hitaji na kiwango cha uhitaji kulingana matumizi ambapo kama nilivoeleza hapo juu kwa local providers wengi 20Mbps kwa shared Internet huuzwa 100,000 na kuendelea

2. Vifaa wezeshi ambavyo vitaweza kuwapa huduma mtu mmoja mmoja baada ya kupata internet kutoka kwa local provider bahati nzuri hivi vifaa sio ghali sana kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja japo kwa hapa Tanzania vifaa huuzwa kati ya 60,000 up to 90,000 per person

3.Masoko ya utoaji wa hii huduma, habari njema nikuwa masoko yapo mengi sana kiasi ya kwamba hii ni fursa pana yenye faida endelevu kuliko biashara nyingi mtaani unaweza kurudisha ghamaza za investment yako hata ya milioni 500 kwa muda wa miez 4 au 5 tu

NAMNA FAIDA ITAKAVOPATIKANA NA KUONA UWEZEKANO WA KURUDISHA GHARAMA ZA UWEKEZAJI WAKO KWA MUDA USIOZIDI MIEZI 5

Mchanganuo kwa yule mwenye mtaji wa 20Milioni tuone tunairudisha kwa muda upi.

Kama nilivyoeleza awali 20mbps huuzwa kwa 100,000 na pia 20mbs inauwezo wa kuhudumia hata watu 10 kwa matumizi ya internet ya kawaida ambayo ni unlimited kwahiyo nisawa na kusema

20mbps = 10 users (watumiaji )
400mbps = 200 users (watumiaji )

Naimani tunaelewana kidogo

20mbps = 100,000
400mbps = 2,000,000

1 user = 90,000 installation cost+ device
200 user = 18,000,000 device + installation cost

kwaiyo :
400mbps = 2,000,000
200 users = 18,000,000
TOTAL : 20,000,000 Capital

MCHANGANUO WA FAIDA

Kama mtumiaji mmoja utaamua kumchaji 1,000 kwa siku kupata huduma ya Unlimited internet inamaana kwa watumiaji 200 kwa siku utakusanya 200,000 na ukizidisha kwa siku 30 yaani mwezi utakusanya 6,000,000/=

Sasa 6,000,000 - 2,000,000 (gharama ya 400mbps kwa mwezi) = 4,000,000

Kwaiyo monthly unapata net profit ya 4,000,000/=

Ukiizidisha kwa miezi 5 yaani
4,000,000 × 5 = 20,000,000
Kwa lugha nyepesi miezi 5 inarudisha gharama za investment na kuanzia mwezi wa 6 nakuendelea unakula faida hata miaka 3 hata 10

Na hii miezi imefika sita kutokana na users device kwa hapa tanzania zinauzwa ghali ila kama utaagiza miezi ya kurudisha mtaji inafika 3

Kwa hizi details inatosha kwa yule mwenye nia ya uwekezaji

Hivo basi kama umtaji huo au zaidi ya huo nakukatibisha tuweze kufanya hii biashara na hata kabla ya kuwekeza hiyo pesa unaweza ukaanzajaribio kwa 1,000,000 ukaona malipo na inavyofanyiks kisha ukaingia kwenyr investment

Napatikana Dar es Salaam ila hii biashara inaweza kuekezwa popote tanzania kwenye eneo linalopatikana network ya 4G na hata 5G

Kwa mtu serious na unapatikana Dar es salaam tunaweza kuonana na ku discuss in more details na tukaona tunalifanikishaje hili

Pia kwa maswali nakaribisha mwenye swali kuhusiana na Idea hii

Mawasiliano : 0710020066 call & WhatsApp
Mkuu una wazo zuri sana
Tatizo ni uaminifu kwa watanzania wegi ni 0
 
Back
Top Bottom