Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
244
702
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)

Ni aidha
  • jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
  • Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako
  • Anataka uhame atawale soko hio sehem
  • Anataka kukutia adabu / kukukomesha / kisasi
N.k.
Binafsi nina jirani anauza kwa bei za chini mno
 
Biashara inataka Mtaji Kwasasa,story za Customer care watu hawana habari nazo.

Jifanye una customer care, Mwenzio duka la Pili Product ya 200k anaiwekea Faida ya 5,000.. (unaweza?)

Product ya 5000 anaweka Faida sh 100.. Fukuzia huo moto uone... lazima umuite mchawi

Lakini Biashara sasa hivi siri ipo kwenye Kuvunja Bei...

Vunja Bei kadri uwezavyo hamna biashara mpya kwasasa watu wanaenda penye unafuu wa bei life lishakua Gumu.

Acha kukomaaa na Bei...
 
Ni kweli kabisa biashara ya sasa ni mtaji mzito,

NI AIDHA MUWE TEAM AMA UWE NA MTAJI WA TEAM

watu wananunua mizigo in bulk (mzigo mkubwa), familia, ndugu au team waliosambaa mikoa mbali mbali wanakaa pamoja wanagiza mzigo mkubwa mfano dozen elf 50 za bidhaa kutoka china, ukija piga hesabu ya dozen moja unakuta ni elf 3

Wewe unaenda kununua kivyako dozen elf 1 tu ukija piga hesabu ya dozen moja unapata elf 5

Mwenzako anauza dozen 5,100 utadhani anapata faida ya mia kumbe ni faida ya 2,100+, wewe ili kuipata hio faida inabidi uuze 7,100, ukimuiga bei umekwisha.
 
Umenikumbusha ushindani wa New Force na ABC Upper Class route ya Dar-Tunduma

NF kashusha bei kutoka 63,000 mpaka 53,000 na hii ni inasemwa kwa kuwa ABC ana huduma nzuri

Point yangu ni hivi, biashara ni strategies wakati fulani kinachotakiwa ni mzunguko wa biashara uwe mkubwa hata kama faida itapungua kidogo tofauti na mshindani wako

NF kaona kuliko basi lisafiri na abiria wachache acha awajaze kwa kuwapunguzia nauli huku ABC ikisafiri baadhi ya siti zikiwa wazi
 
Biashara inataka Mtaji Kwasasa,story za Customer care watu hawana habari nazo.

Jifanye una customer care, Mwenzio duka la Pili Product ya 200k anaiwekea Faida ya 5,000.. (unaweza?)

Product ya 5000 anaweka Faida sh 100.. Fukuzia huo moto uone... lazima umuite mchawi

Lakini Biashara sasa hivi siri ipo kwenye Kuvunja Bei...

Vunja Bei kadri uwezavyo hamna biashara mpya kwasasa watu wanaenda penye unafuu wa bei life lishakua Gumu.

Acha kukomaaa na Bei...
Hii mbinu itafanya upate hela ya kula tu, na kulipa kodi, hata kujenga hutajenga
 
Sibishani na wasiofanya biashara, niache msikiliza VUNJABEI nikusikilize wewe.

Sio rahisi,ni heri nikose hizo hela za kujenga kwa ushauri wa VUNJABEI ila sio huo wako nisiotamani hata kuujua.
Sawa, endelea kuvunja bei tu,
Hio njia mtaishia kutoana damu na washindani wako, mwisho wote mfirisike, hakuna alietoboa kwa kuuza vitu kwa kuvunja bei,

Vunja bei mwenyewe zile jeans zake za 18k huku mtaani ni 17k
 
Ni kweli kabisa biashara ya sasa ni mtaji mzito,

NI AIDHA MUWE TEAM AMA UWE NA MTAJI WA TEAM

watu wananunua mizigo in bulk (mzigo mkubwa), familia, ndugu au team waliosambaa mikoa mbali mbali wanakaa pamoja wanagiza mzigo mkubwa mfano dozen elf 50 za bidhaa kutoka china, ukija piga hesabu ya dozen moja unakuta ni elf 3

Wewe unaenda kununua kivyako dozen elf 1 tu ukija piga hesabu ya dozen moja unapata elf 5

Mwenzako anauza dozen 5,100 utadhani anapata faida ya mia kumbe ni faida ya 2,100+, wewe ili kuipata hio faida inabidi uuze 7,100, ukimuiga bei umekwisha.
 
Sawa, endelea kuvunja bei tu,
Hio njia mtaishia kutoana damu na washindani wako, mwisho wote mfirisike, hakuna alietoboa kwa kuuza vitu kwa kuvunja bei,

Vunja bei mwenyewe zile jeans zake za 18k huku mtaani ni 17k
Ni sasa hivi kashajipata lakini Enzi za VUNJABEI anatafuta soko hamna mahali unaweza pata jeans bei rahisi kama kwake labda Mtumbani.

sasa hivi VUNJA BEI kashajipata limebaki jina tu ila sio kwamba bei zake ni chini tena kashavuka huko saivi anauzia wenye pesa.
 
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)

Ni aidha
  • jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
  • Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako
  • Anataka uhame atawale soko hio sehem
  • Anataka kukutia adabu / kukukomesha / kisasi
N.k.
Binafsi nina jirani anauza kwa bei za chini mno
Vita ya akina dada lakini mlipaji hapo ni sponsor
 
Back
Top Bottom