bwana

This is a list of English language words that come from the Niger-Congo languages.
It excludes placenames except where they have become common words.

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    Jinsi bwana Coca-Cola alivyojianzishia kabiashara kake!

    This Day In History May 8 1886 American pharmacist John S. Pemberton developed Coca-Cola, a drink he originally billed as a cure-all tonic. On May 8, 1886, Dr. John Stith Pemberton invented Coca-Cola, forever changing the history of eating habits around the world. The drink’s name refers to two...
  2. NALIA NGWENA

    Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

    Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge...
  3. M

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke yavunja ndoa baada ya Bwana harusi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kwa miaka 5. Bibi harusi kapotezewa fertility age

    Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Ndoa hiyo iliyodumu kwa miaka mitano. ilifungwa mwaka 2019 na imevunjwa mwaka 2024. Bibi harusi...
  4. N

    Watu wanazikamua hela bwana, acha kabisa; mashuleni mpaka sasa hakuna kitu tangu mwezi Januari.

    Mabilioni juu yanapigwa tu maana ni ukweli kuwa kwa sasa fedha nyingi tu zinapatikana kutoka nje n.k Mashuleni hali mbaya, tangu mwaka huu uanze inasemekana shule zimepokea fedha ya mwezi Januari tu basi. Hali mbaya...... Kuna wazabuni walioamua kugoma sasa kuendelea kuzikopesha shule, Umeme...
  5. N

    Mchumba wangu kaniambia "Mimi ni mzuri bwana nitaolewa na mwanaume wowote yule tena kwa mahari juu"

    Huyu mwanamke sasa anakoelekea nampiga chini kimya kimya na kumpotezea mazima japo nimetoa mahari kubwa aisee kwanza kwenye uchumba ndugu zake walikuwa waongo waongo sana just imagine mpaka leo sijawahi kuona call yoyote ile kutoka kwa mzazi wake wala ndugu yake yoyote yule je likitokea tatizo...
  6. Hakuna anayejali

    Hivi ninyi kinabibi afya na bwana afya hii ni kawaida?

    Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu. Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi. Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati...
  7. Chawa wa lumumbashi

    Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya...
  8. MK254

    Top Hezbollah commander hit in apparent Israeli strike as air force head threatens more

    A burning car is seen in the southern Lebanese town of Nabatieh after it was struck in a reported Israeli airstrike on February 8, 2024. (Screenshot from X used in accordance with clause 27a of the Copyright Law) An apparent Israeli drone strike Thursday in southern Lebanon targeted two...
  9. Mjanja M1

    Video: Aisee! Kumbe ni mwenzetu bwana

    Angalia mpaka mwisho hii video.
  10. Light saber

    Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

    Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi? What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
  11. Teslarati

    THE POEM: Bwana Kiranga, Atheist

    Bwana Kiranga ni loser anaejificha kwenye kivuli cha success zake chache akidhani wengine kushinda zaidi ya hapo alipofanya yeye ni dhambi. He hates achievers who achieve more than him to the extent that he hates his own God The same mentality imekua kiasi kwamba yeye akiona mtu/kitu kina-power...
  12. Nigrastratatract nerve

    Maadui wa Magufuli walikuwa pamoja na wamoja wametawanywa kwa njia saba ogopeni sana kuchezea wapakwa mafuta wa bwana

    Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. hili ni andiko liko katika kitabu cha mhubiri 28:7 Mafarisayo na Masadukayo Sasa hivi wameshindwana nyama ya wajanja huwa haiiivi
  13. Mmea Jr

    Ila biashara bwana

    Okay habari zenu wakuu ??. Natumaini wote mnafurahia kuuona mwaka 2024 . Na wale tunaokimbiza na ada tusijali wakuu tutatoboa tu . Sawa tusipoteze muda leo ngoja niwapeni kisa fulani ambacho nimewahi kukutana nacho hapo nyuma katika mambo ya biashara . Mkoa ninaoishi ni miongoni mwa mikoa yenye...
  14. Nigrastratatract nerve

    Inadaiwa, Mbunge wa Busega Bwana Simoni Songe amewahonga wajumbe 800 kila mmoja elfu thelathini kama ushawishi wa kuja kuchaguliwa

    Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25 kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
  15. Gordian Anduru

    Bwana Ahmed Ally Sisi tuliofeli Form Four Tuhame Simba?

    Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
  16. MK254

    Mzawa wa Marekani bwana Karrem Nasr akamatwa kujiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa kidini

    Marekani itakuja kujutia kwa kuruhusu mazombi yaje na kuzaliana humo.... A New Jersey man arrested in Kenya has been charged for trying to aid terrorist group al-Shabaab, the US Justice Department said, alleging he was motivated by Hamas' Oct. 7 attack on Israel to wage violence. The arrest...
  17. Money Penny

    Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

    Jambo iko? Kwanza merry christmass Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku. Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje? Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa...
  18. IamKulwa

    Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
Back
Top Bottom