NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,399
- 13,005
Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha hapana ila alijua timu za kariakoo hazina muda wa kumvumilia mtu zinataka ukivaa jezi tu basi ukafunge magoli kama halaand pale Manchester City.
Shafii Dauda alimtafutia timu za nje bwanamdogo Chasanbi lakini kakataa na kukimbilia Simba sc cha ajabu hapati namba na akipata anacheza kwa presha sana kiufupi bwana mdogo ana hali mbaya pale kwenye kikosi cha Simba sc
Aliwahi kusema Gadiel Michael kuwa '' katika kitu ambacho najutia ni kutoka Yanga kwenda simba sc'' akimaanisha kuwa muda mwingi aliupoteza kwa kukaa benchi kuliko kucheza na ukiangalia bwana mdogo alikua ana talanta na kipaji na kucheza ball lakini benchi liliua kipaji chake
Maoni Yangu : Mliokaribu na bwana mdogo Chasambi mwambie muda ndiyo huu wa kutoka simba kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine akiendelea hivyo atakaa benchi na atakuja kujutia muda wake alioupoteza kwa kukaa benchi kwani kipaji na uwezo anao mkubwa mno