Tusimlaumu Kennedy Juma bali tunapaswa kuwalumu viongozi wa Simba Sc kwa kutowapa posho wachezaji tegemezi na kusababisha mgomo ndani ya kikosi

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,382
12,948
Kila mtu anamuimba Kennedy Juma kama vile yeye ndiyo wa kwanza kukosea, wanasimba hawapaswi kurusha lawama kwa wachezaji bali wanapaswa kujiuliza kwa nini CHAMA, SAIDOO,MIKSON NK hawakucheza na hata benchi hawakuonekana na hakuna taarifa yoyote kuwahusu wao??

IPO HIVI
Ukianglia substitutes za Simba sc kwenye mchezo wa Namungo vs Simba kuna wachezaji hawa Ally salimu,abeli,duchu,kazi,hamisi,karabaka,jobe na ukija kwnye kikosi kilichoanza aliyeongezeka ni BALUA NA ONANA.
swali je huyo balua ni lini alipata match fitness?? na upande wa onana ni mchezaji ambaye amekua akitoke sub kwa hiyo bado kuwa fiti kwa asilimia mia

HOJA YANGU; chama saidoo na mikson wamegoma kucheza baada ya kutopewa bonas yao ya kutoka kwenye kombe la muungano na kama chama saivi yupo zake Lusaka akiwaangalia sima sc wanavyodondosha point mbele ya Namungo

ukweli usemwe viongozi wa simba sc ndiyo chanzo cha migogoro na timu kudodosha point na kumlahisia ubingwa mpinzani wao Yanga sc, kama wachezaji mikataba yao uliwasainisha kuwa utawapa bonus kila wanapochukua kombe sasa kwa nini usiwape??

na hii ikawe fundisho Simba na Yanga wamezoea kuburuza wazawa lakini saivi tunawachezaji wa kigeni (proffesinal playe) wanajitambua sana na wanafuata sharia za mikataba yao sasa mwajiri ukileta uswahili unakua umejiangamiza mwenyewe

MAONI YANGU: huu ni muda sasa wa Simba na yanga kuachana na mambo ya Kiswahili kwani walipofikia ni level za kimataifa na wachezaji kutoka nje wametumwa hela hawakuja kuuza sura ukitazama suala la Bernad Morson na Kambole ukichunguza ni uswahili wa viongoz tu mpaka wanaikost timu na ikumbukwe morson alichukua mil 60 ns kambole nae ndiyo huyo anasubiri mpunga wake
uswahili uswahili uswahili uswahili uswahili haufai kabisa kwa wachezaji wa kimataifa na wanaojua sharia.
 
Huyu Kennedy kuna mtu anakula nae ni mchezaji wa kiwango cha majimaji sio Simba. Cha ajabu ana msimu wa sita Simba na hachezi na wala hajawahi kutaka kuondoka. Muda umefika sasa wa kufumua madudu yote
 
mbona akikosea inonga hamsemi ?
mara ngapi shomari kapombe na zimbu jr wanapgwa matobo na Azizi k hamsemi ?
 
Kila mtu anamuimba Kennedy Juma kama vile yeye ndiyo wa kwanza kukosea, wanasimba hawapaswi kurusha lawama kwa wachezaji bali wanapaswa kujiuliza kwa nini CHAMA, SAIDOO,MIKSON NK hawakucheza na hata benchi hawakuonekana na hakuna taarifa yoyote kuwahusu wao??
ja kuuza sura ukitazama suala la Bernad Morson na Kambole ukichunguza ni uswahili wa viongoz tu mpaka wanaikost timu na ikumbukwe morson alichukua mil 60 ns kambole nae ndiyo huyo anasubiri mpunga wake
uswahili uswahili uswahili uswahili uswahili haufai kabisa kwa wachezaji wa kimataifa na wanaojua sharia.
Chapa kazi Achana na huo utapeli wa simba na yanga
 
Ile game ya jana maungo ilijichanganya kipindi cha pili kwa kupaki bus ila game ilikuwa yakwao kabisa
 
Kila mtu anamuimba Kennedy Juma kama vile yeye ndiyo wa kwanza kukosea, wanasimba hawapaswi kurusha lawama kwa wachezaji bali wanapaswa kujiuliza kwa nini CHAMA, SAIDOO,MIKSON NK hawakucheza na hata benchi hawakuonekana na hakuna taarifa yoyote kuwahusu wao??

uswahili uswahili uswahili uswahili uswahili haufai kabisa kwa wachezaji wa kimataifa na wanaojua sharia.
hivi unajua kuna goli bacca wetu wa yanga alijifunga? hakuna cha kulaumu ni mpira tu
 
Back
Top Bottom