Habari wanaJamiiForums
Karibu kwenye uzi wetu mpya unaolenga kila kitu kuhusu Digital Marketing!
Katika enzi ya kisasa ya kidijitali, kuelewa wa uuzaji wa kidijitali ni muhimu kwa biashara, wajasiriamali, na mtu yeyote anayejitahidi kujenga uwepo mtandaoni. Uzi huu unalenga kuwa kitovu cha...
Habarini wakuu,
Nimeamua kuandaa uzi collective kwa ajili ya mashine mbalimbali ambazo zinatumika katika shughuli mbalimbali hapa nchini.
Nitakuwa natoa maelezo ya machine pamoja na picha (muonekano) na bei yake
Post ntazipanga katika sytematic order ambayo itawezesha mtu kupata picha ua...
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.
Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3...
Habari zenu wakuu??
Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake
Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame potea au wengi hatuya jui kuto kana na technologies development/mazingira tuliyo kulia
Kiukweli ni...
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda.
Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi maalumu kwa ajili yao ili kwa pamoja tuweze kutoa mawazo jinsi ya kuwasaidia na kuwashauri. Hii itasaidia...
Naam, ni Hakika!
Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024.
Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Wabunge wa Bunge la JMT wamejiongezea Mishahara kutoka TSH 13 million walizokuwa wanalipwa awali hadi TSH 18 million
Mbowe amesema mshahara huo ni mbali na Posho mbalimbali wanazolipwa kila Siku
Jumaa Mubarak 😀🔥
----
Mwenyekiti wa chama cha...
Wadau wa JF,
Naomba kupitia thread, watu mtupe elimu na watu wajifunze namna ya kuweka order, kulipia, na kusafirisha (shipping) bidhaa kutoka kwa manufacturer kwenda Dar kwa usalama zaidi.
Tafadhali tuweke ma consideration kwa mtu anayechukua pisi zaidi ya 10 kwenda juu kupitia Alibaba...
Wakuu niaje?
Karibuni tukumbushane baadhi ya scene kali kabisa kwenye Movies zetu pendwa. Leo mimi nadondonsha scene hii fupi kutoka Shaolin Soccer. Unaikumbuka?
Kwa wote tunaotambua nguvu iliyojificha kwenye namba.
Uzi huru kutupia chochote unachoamini ni mafanikio kwako, usikate tamaa jibidishe kwani huu ndo mwaka wa neema kwa wanaojituma.
Pia usiache kumshukuru Mungu kwa kila hatua unayopitia.
Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala.
Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu.
Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe ..
Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills .
Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi?
What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024.
Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo.
Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.