thread

  1. N

    Mshahara wa dereva wa lori unaanzia kiasi gani hapa Tanzania?

    Habari zenu wana jamvi, Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikitamani kujiunga na tasnia ya udereva particularly udereva wa malori (truck driver), nilikua naomba kujulishwa mshahara wa dereva wa lori apa Tanzania. Asanteni
  2. Chereko tena

    Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

    Wanabodi habari, Hawa dada zetu avatar zao ni threat katika moyo wangu, Warembo, macho yao, midomo midogo, pua ndogo, nahisi mnawaonaga, wanapendeza mnoooo, kichwa kinauma last seen yao tangu saa sita mchana kipindi hiki na hii korona. Mh!, nilizoea kuwa hata na like post zao lakini Leo moyo...
  3. teledam

    Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

    Wakuu habari, Inawezekana kuna wadau humu wamekuwa 'addicted' na mchina ama korokoro kama inavyoitwa katika sehemu mbalimbali. Naomba kwa anayefahamu adondoshe hapo tip jinsi gani unaweza kubashiri vizuri katika bahati nasibu hii. Asante
  4. mathsjery

    Jaribu kufanya haya unapotaka kujifunza programming

    Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo nimekuwa nikizitumia kujifunza programming tangu siku ya kwanza niliposikia msamiati huu. Nafikiri...
  5. 44mg44

    Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

    Wanawake hupata wanaume wa kuwaoa kwa njia mbalimbali kama vile: 1.ulimpa tunda kimasihara baadae akawa mmeo 2.ulienda kuombewa kwa mchungaji 3.ulitafta mtandaon 4.alikuwa mwalimu wako darasan 5.alikuwa mpangaji mwenzio 6.alikuchumbia Wanawake karibun mtaje njia mlizotumia kuwapata wanaume...
  6. Dong Jin

    Wana (Zuchu) Vs Dodo (Ali Kiba)

    Hizi nyimbo zote ni mpya, na zina mahadhi yanayofanana... Dodo iliachiwa jana chini ya Kings music na Wana imeachiwa leo chini ya Wasafi label Kwa mtazamo wako upi wimbo ni mkali kuliko mwingine bila ya kujali jina wala label aliyopo msanii husika
  7. mahadhialy

    Taja nyimbo kali (song hits)

    Habari zenu wana JF, ninaomba tutaje nyimbo zinazo hits sasa hivi kitaani. Sisi nyimbo inayo hits zaidi kitaani kwetu ni Jeje of Diamond Platnumz
  8. 44mg44

    Kati ya single maza mwenye chura na mschana mdogo nimuoe nan???

    Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!! Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!! NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja wadau naomben msaada wenu wa kimawazo
  9. Z

    #afroeastalbum... Thread maalum kupata update za album , tyari nyimbo 18 zimpostiwa na kondeboy

    Msanii anaekuja kwa kasi ya moto.. Harmonize amepost list ya track zitakazokuwepo kwenye album yake. Aisee kazi ipoooooo
  10. 44mg44

    Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

    jaman naomba mnisaidie mawazo,maana ndoa yangu bado changa
  11. Superbug

    JamiiForums ikikosa thread mpya kwa siku afya yangu inatetereka

    Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk. Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf? Kuna wakati...
  12. Trust me ankali

    Mrejesho kikao cha mabaharia juu ya suala la Hamida

    1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi 2) Ndugu yetu aliyepata mkasa huu tutamtafutia wanawake watano wazuri zaidi kisha tutamuozesha kwa gharama...
  13. roselina john

    Ladies tunaopenda Muziki wa Kongo tuonane kwa hii thread

    Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo But some of them have an interest, Bolingo 1.Nzele- Madilu 2.Bandeko- Madulu 3.Ton Ton -Madilu 4.Sydiegi-Madilu 5.Associe - Fally Pupa 6.Faulta de Jon -Koffi 7.Papaa- Ngwasuma 8.Loi- Koffi I real like Congo Music
  14. mni

    Naomba mnisaidie kwa mawazo

    Asante
  15. kali linux

    Forbidden technology, supressed science, covered history special thread

    Hello bosses uzi huu ni maalum kwa ajili ya kufahamishana technology mbalimbali ambazo kwa njia moja ama nyingine zimezuiwa au kufichwa au kuruhusiwa kutumika tu na watu au taasisi fulani pekee. 1)THE CURE OF ALL DISEASE BY Dr ROYAL RIFE Tuangalie kwanza Kiufupi wasifu wa Royal Rife. Royal...
  16. Stephen Ngalya Chelu

    Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

    Habarini wakuu Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha zilizotengenezwa kwa mifumo ya kompyuta. huu utakuwa ni uzi wa kuweka picha tulizozitengeneza sisi wenyewe na si picha za ku download au kuweka picha kutoka kwa mtu mwingine. Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha...
  17. The Mongolian Savage

    Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu ila wameleta thread kutuzuga

    Mzuqa Haw watu wa ajabu. Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu Bongo. Wameleta thread kutuzuga eti mzungu kashinda kesi ili watu-mock na kutucheka ndege ikiwasili kwasababu hawa watu wanaishi kwa mashindano na kukomoana hili kujifariji wanapoharibu na kushindwa. Lyamber na barafu jaribuni...
  18. Happycuit

    Leicester City (The Foxes) | Special Thread

    Leicester City Football Club is an English professional football club based in Leicester in the East Midlands. The club competes in the Premier League, England's top division of football, and plays its home games at the King Power Stadium.[2] Leicester City Full name Leicester City Football...
  19. Cicero

    Madereva wa Uber, tupeni stori za mnayokutana nayo hasa weekend

    Huu uzi ni kwa ajili ya madereva wa Uber ku-share mikasa wanayokutana nayo katika kazi zao. Nimeamua kuuanzisha baada ya dereva mmoja kunisimulia mastory ya abiria anaokutana nao hasa nyakati za usiku siku za weekend wakiwa wamekolea. Hivi vituko vinavoendeleaga vinawakuta na wengine? Nina hamu...
  20. Kibuje

    Thread Ya Vitu / Mambo uliyochelewa Kufahamu!

    Katika maisha kuna mambo ambayo tunahisi tunayajua / tuko sahihi kuamini hivyo mpaka pale inapotokea unafahamu kwamba unavyoamini sio sawa. Yapo mengi kama vile kuamini - > Mtu akikuruka miguu utakuwa mfupi hadi pale atakaporudia kukuruka. > Kutumia sukari nyingi, (eg: kwenye chai / juisi)...
Back
Top Bottom