moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. amshapopo

    Nimeamini safari ya kuitafuta na kuishika ml 100 as cash ni ngumu mno..... Najitaidi lakini yataka moyo!

    Habari wakuu, Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa kumheshimu sana. Ml 100 kwa kuzitamka zinaweza kuonekana ni pesa kidogo sana but in reality kuna baadhi ya...
  2. Embe Bichi

    Nimekosa amani ya moyo ni Wiki ya pili sasa

    Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress, ingawa nina hofu ya kutofikia lengo ifikapo 30 june mwaka huu hali ambayo nahisi itaniathiri sana...
  3. La3

    SoC04 Kujiajiri kwa mafanikio makubwa kunategemea shauku ya mtu mwenyewe kupenda kujiajiri kutoka ndani ya moyo wake

    Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza. Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa. Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi) Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri. Sasa...
  4. M

    Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
  5. Fundi manyumba

    Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
  6. N

    JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  7. Frank Wanjiru

    Ahmed Ally: Shabiki wa 5imba mwenye moyo mgumu ndio aje uwanjani kwenye derby

    “Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally. Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
  8. K

    Moyo wangu unavuja damu

    Habari zenu wana Jamii Forum… Natumaini sote tumesherehekea Eid vizuri wale Eid iliyokuwa mbaya kama mimi nawapa pole tupo pamoja Mimi ni member wa muda mrefu ila imebidi nije na ID mpya kutokana na haya yanayonisibu….. Nitajaribu kuelezea kwa ufupi sana kadri nitakavyojaaliwa… Mimi ni...
  9. Mto Songwe

    Nani wa kulaumiwa juu ya umasikini wa taifa letu?

    Wapalestine chini ya Hamas wana moyo sana wa mapambano pasipo kujali kaeneo kadogo walipo lakini haiwakatishi tama kupambana dhidi ya udhalimu, unyang'anyi na ukoloni wa Israel. Pasipo kujali kiwango gani cha silaha za maangamizi alizonazo Israel lakini hali ya mapambano kudai haki yao...
  10. BARD AI

    Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  11. P

    Viongozi, kuweni wazalendo na hakikisheni nchi inajengwa vizuri

    Nchi hujengwa na Wananchi wenyewe. Hali ni tofauti kwa bara langu la Afrika ya watu weusi. Nimezunguka nchi yangu na kujionea kwa macho yangu maisha ya watanzania wengi. Kusema ukweli, kazi ya kuijenga nchi bado tunayo. Barabara mbovu Nyumba za makazi mbovu Vumbi kila kona Nzi na mbu Uchafu...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

    Wiki ijayo tunapokea ndege nyingine ya fedha nyingi sana ambayo itaungana na ndege zingine za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ununuzi wa ndege za mabilioni si tatizo, tatizo ni pale tumeruka hatua muhimu. Tulipaswa kutatua masuala ya maji, umeme, elimu, na afya kwanza kabla ya kufikiria...
  13. Doto12

    Mpira ni heshima, kujitoa moyo na subra. Bila haya mambo hutoboi

    Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka. Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
  14. Lenin23

    Mwisho wa Game of Thrones umenivunja moyo sana. Kwanini iishe hivi jamani?

    Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭 why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
  15. U

    Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  16. A

    Ananionesha mahaba mazito ila kila tukikutana amekuwa mtu wa vijisababu

    Habari kwa wana Jf, Kwa upekee sana ninawapa salamu wana MMU wote. Mimi ni mgeni wa jukwaa hili na ninawaomba mnipokee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Ipo hizi, nilikutana na huyu mwanamke kwenye sherehe baada ya kuoshiriki pale kwa kitambo nikaondoka. Baada ya siku moja kupita...
  17. Roving Journalist

    Taasisi ya Moyo (JKCI) yafafanuzi madai ya kuchezea mifumo ya NHIF ili baadhi ya Dawa ionekane hazipo

    Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
  18. Kiboko ya Jiwe

    Binafsi sisikilizi nyimbo za wasanii wa kiume wanaojifananisha na wanawake, mnaowasikiliza mna moyo

    Mimi msanii wa kiume anayevaa hereni, aliyeweka kipini puani na mwenye tabia ambazo hakupaswa kuwa nazo mwanaume huyo siwezi kutazama video yake, siwezi hata kusikiliza nyimbo zake. Nahisi uchafu na kichefuchefu, ngoja niishie hapa.
Back
Top Bottom