Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu?
Binafsi nashindwa kuelewa.
Hitler aliua wazungu milioni 2 na anatwaja kama mtu mouvu zaidi kuwahi kutokea ila king Leopard wa Belgium aliua black people Congo hapo zaidi ya watu milioni 20 lakini hatajwi sana kwenye list ya watu waovu zaidi.
Kuna shida kwenye historia.
Nendeni katika Ukurasa wa X ( zamani Twitter ) wa Mkenya Mike Sonko muone jinsi Askar Polisi wa Morocco ( Waafrika Wenzetu ) walivyomshambulia na kumpiga vibaya Mwafrika baada ya Kuhoji kwanini Ndege yao imechelewa kwa Siku moja na wako bado Airport lakini kuna Tangazo limetoka likisema kuwa...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu.
Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k.
Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu
Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu
Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu).
Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha.
Ila kuna suala moja lanifikirisha sana.
Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya kuwahimiza watu kutokukata tamaa na kupambana kujikwamua kiuchumi,,
kwanini
zikiwa ni za wamarekani...
BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume
Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu...
Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo.
Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka...
Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu kinachotamba.
Waarabu weusi wa Bongo akina brazaj kutwa wanalia lia kuhusu Waarabu wa Palestina...
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa...
Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo>
Tafsiri kwa msaada wa google.
Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti...
Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI?
Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia.
Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe.
Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo mpaka leo hii kukutana na kuzungumza.
Watu hao walikuwa maarufu duniani, watu hao hata baada ya kufa...
Misiba yetu huwa ni event fupi yenye mambo mengi ya ajabu, yakuchekesha, kuhudhunisha na kustajaabisha.
Misibani huwa ndio fursa nzuri kwa ajili ya wambea na wanafiki. Wanatunga stori kuhusu kifo na maisha ya familia yenye msiba. Unakuta kuna vikundi vikundi vya wakina mama, vya wakina baba...
In 2010, a black Nigerian couple living in London gave birth to a whitè, blond haired, blue eyed baby who become known as “The Miracle baby”.
When Angela Ihegboro first saw her newborn daughter, she was, “speechless.” “She's a miracle baby,” the 35-year-old mother said, “But still, what on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.