Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na wanaume (eti tofauti iwe ni maumbile tu).wanawake hupenda haya na bahati mbaya wanaozama kwenye huu...
Mawasalimia kwa jina la jamhuri.
Leo nimeona nilete uzi mdogo hapa kwenu kwa swali nililoliwaza sana. Kwanini Waafrika wengi tunapenda lalamika? Hapo awali nilidhani tatizo ni umaskini, ila pia kwanini matajiri pia wanalalamika?
Nimepita baadhi ya nyuzi kibao huku, nimeona wengi wana express...
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic.
Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
Habari ndo hiyo!
Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo.
Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
Wanasiasa wenye mvuto na ushawishi kwa jamii chukueni tahadhari. Wapo watu wameletwa Duniani kuongozwa ila wanatamani kuongoza.
Kipindi hiki hali ya tamaa uwaka sana mioyoni mwa wanasiasa. Malipo mengi utolewa kwa vijana wavuta bangi na wasio na kazi waende kudhulumu nafsi za wale...
Habari zenu wakubwa,
Mada nyingi humu mnasapoti pesa ndo kinasio cha kuwanasa wanawake lakini ukiangalia wenye nazo ndo wanasalitiwa sana,unakuta mwanamke kaolewa na tajiri baada ya mda anaanzisha vurumai wagawane mali asepe aende kwa mwanaume wake kapuku,stori za wake za watu kuzaa na...
1. Mapenzi ya utotoni:
Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo.
Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
Maboss wa kiume hujitahidi sana kuwa katikati / neutral na hata ishu za chuki / upendeleo huwa wanaweza kula na kipofu wengine iwe ngumu kujua kinachoendelea,
Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita...
Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi S, C, M na D wanapenda sana lipofika suala hilo.
Wenye herufi zenu, ya kweli haya?
Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti.
Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k.
Kwanini
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025
Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni
Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye...
Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi.
Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa uzio wa zege na machuma, ati ndio maisha ya kisasa!
Kila mwenye hela lazima ajenge liukuta refu na...
Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI?
Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
Mzuka,
Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini?
Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa).
Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha.
Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali ukiachia mbali kutubagua tunapokwenda kwao ingawa hatuwabagui wajapo kwetu.
Sijui kwanini wazungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.