Ni kwanini kwenye makampuni ama bishara binafsi wanapenda zaidi kuajiri wanawake kuliko vijana wa kiume kazi za ofisini ?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,407
19,064
Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti.

Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k.

Kwanini
 
Wanawake kiasili wapo detail oriented na multitasked kwa hiyo kwenye ishu za kusimamia kitu kilichopo kwenye mifumo clear, wapo vizuri sana

Kingine wao kwenye ngazi za kijamii, hawana majukumu mazito ya kuwa providers na wala hawawekewi matarajio makubwa na watu kwenye kufanikiwa kimaisha. Hii tu inasababisha wao kutokuwa na tamaa za kuangukia upigaji au kuacha kazi.
Kwa hiyo wanawake ni safe route kiasi kwa waajiri
 
vp wenye watoto wanaolea wenyewe
 
Kwenye uhasibu siku hizi wanawake ndio wanapewa kipaumbele.

Kampuni kubwa za auditing. Wanaziita big 4.

Siku hizi ajira zao wanaajiri Auditors mabinti wengi kuliko wanaume..kila nafasi 10 mpya unakuta wanawake wanaajiriwa 7 na wanaume wanaajiriwa wa 3 ili 10 ikamilike.

Sababu kuu ni cheap labour na pia wanawake wana attention to details sana kwenye uhasibu. Pia wanawake sio wezi kazini. Waoga kupiga madili.

Mwanamke ukimlipa milioni 1 kwa mfano. Kwake ni hela nyingi sana.. huku mwanaume ukimlipa milioni 1 hiyo hiyo kwake ni hela ndogo. Kazi anakukimbia fasta
 
Comments namba 2 & 4 ndio nilichotaka kusema..

Nilishaingia Duka la nguo Mshakaji(muuzaji) alikua anamchezea demu K, yaani ananishushia nguo kunipa mkononi ni harufu ya K tuu, Yule Dada alijua nimejua, alitoka kwa aibu kainama..,
Nipo nje duka jingine namuona ananawa mikono.

Sikuchukua ile nguo na sijawahirudi.
 
Hiyo harufu ya k ni kali sana aisew
 
Attachments

  • IMG-20231230-WA0009.jpg
    IMG-20231230-WA0009.jpg
    51.8 KB · Views: 4
Acha wapewe wanawake tuu maana si mmegoma kuachana na fikira za kufanyafanya ngono, Nani akupe nafasi uje ufilisi kampuni yake kwaajili ya genye za asubuhi?
 
Comments namba 2 & 4 ndio nilichotaka kusema..

Nilishaingia Duka la nguo Mshakaji(muuzaji) alikua anamchezea demu K, yaani ananishushia nguo kunipa mkononi ni harufu ya K tuu, Yule Dada alijua nimejua, alitoka kwa aibu kainama..,
Nipo nje duka jingine namuona ananawa mikono.

Sikuchukua ile nguo na sijawahirudi.
Kumbe ni wewe Yule boya wa dukan
 
Kwa kiasi kikubwa wanawake ni waaminifu Mimi ofisin kwangu natumia Wana record zao ni nzuri na wapo Makin sana
 
Mwanawake hata mkisema mchore dili ni wagumu sana kushiriki yaani hawaelewi. Hata mkishapiga inabidi yeye apewe mgao sio kwa sababu ya ushiriki ila kwa vile amejua na mnalazimisha achukue.
 
Wanawake wanauzika kuita wateja Ni kichocheo,halafu wanaridhika na chochote wanacholipwa hata kama wanauza million 5 Kwa siku,kulipwa mshahara wa Laki na 50 Kwa mwezi wanaona poa tu tofauti na wanaume.

Kuna Sheli niliendaga nikakimbia baada ya kuona una shika pesa Nyingi halafu mshahara kiduchu,ila mademu wamejaa Wana simu Kali na wamenenepa kabisa wameridhika.
 
Waweze kuta hata mtu awe na duka akiweka mtu anataka aweke binti.

Huku kwenye makampuni nako ukiachana na kazi za kiume kama IT, kubeba mizigo, uhandisi, uongozi, n.k. unakuta wanawake ndio wamejaa zile kazi zinazosomewa equally na jinsia zot mfano cashier, wahasibu, reception, n.k.

Kwanini
Chakula cha mabosi mkuu, ulikuwa hujuwi?
 
vp wenye watoto wanaolea wenyewe
Hiyo ni exception mkuu ila kwa kawaida wanaume ndio bread winners ndio maana hata kama mwanamke ana kipato zaidi ya mume lakini pesa ya mwanaume ndio inahesabika kama kipato cha familia
 
Back
Top Bottom