usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  2. J

    Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa. Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa...
  3. mirindimo

    Traffic police morogoro road tunaomba maroli yaruhusiwe usiku

    SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
  4. M

    KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

    Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii! Vifaa hivyo huuzwa kwa Wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno! Sakina, Kwa...
  5. GENTAMYCINE

    Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

    Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au...
  6. R

    Tetesi: Zuhura Yunusu kutetema usiku wa manane

    Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024 hivyo niwaombe viongozi kumvumilia Zuhura Yunusu anapokata usingizi akawasha data na kutuma barua...
  7. SteveMollel

    Mkasa wa treni ya usiku wa manane na mauaji ya watu wanaoipanda

    Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy. Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani. Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo hili linamfanya akose kabisa furaha. Siku moja mpenzi wake (Maya) anampasha habari kuhusu bi. Susan...
  8. mdukuzi

    Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

    Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza. Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na...
  9. ndege JOHN

    Zamani ukiwa unasafiri kwenda Dar hulali usiku

    Sijui shida ilikuwa nini yaani ukiwa unasafiri na bus haswa kwenda dar tuseme bus linaondoka saa 12 asubuhi basi usiku unapata mawenge usingizi hauji kabisa Ila siku hizi ukiwa na safari ya kesho saa 12 hupati mapepe wala wasiwasi wa kuachwa na gari unalala fresh tu hata ikibidi pombe...
  10. BARD AI

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii. Polisi wameondoka na Godlisten Malisa kwenda naye Moshi, Kilimanjaro usiku huu ili kufanya upekuzi nyumbani kwao...
  11. I LOVE YOU DUCE

    Usiku huu umekuwa mgumu sana

    Ni semester ya mwisho sasa (6 semester), performance yangu hapa Duce ipo nzuri sana by the way hadi sasa Kwa semester tano za nyuma na average GPA ya 4.3. Lakini, Sina furaha kabisa kwani ndoto zangu za kusoma Master naona zinayeyuka, my family economic status is too bad. Nashidwa hata ku...
  12. Mbahili

    Usiku mwemeni

    Nimelala chini ya mti wa kijani na kusikiliza sauti za upepo zinazopita, nikitafakari juu ya maana ya maisha na jinsi wingu linafanana na ndoto zetu za kupita. Baridi inaniuma, lakini jua linanipa joto la ndani. Nimeshindwa kuvuna mawazo yangu, lakini nimefurahi kwa sababu ndege wanaimba nyimbo...
  13. H

    Ni kitu gani kinasababisha usiku mitandao ya internet inakuwa na spidi ya konokono?

    Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
  14. PureView zeiss

    USD 1.30 billion zimetumika Kwa usiku Jana kuzuia makombora ya Iran

    Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia. Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani kutokea nchini Cyprus kuzuia makombora yaliyokuwa yanatoka moja Kwa moja kutoka Iran huku fighter jets...
  15. smarte_r

    Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  16. FRANCIS DA DON

    Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

    Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi...
  17. Kifurukutu

    Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

    Igweeeeeeee Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
  18. Melki the Storyteller

    Mke wa mtu ndio anaingia ndani sasa hivi (saa 9:16 usiku)

    Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu pembeni!!!? Mnategemea mlale kwa nani!!? Nawasikia wanabisha mlango hili mwanaume awafungulie😂 Na...
  19. Ziroseventytwo

    Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  20. GENTAMYCINE

    Huenda Ijumaa ijayo k Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao

    Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
Back
Top Bottom