saa

  1. J

    Tafuta TV station ya Tanzania ninuwe mda wa saa moja

    Mimi nataka kuanzisha kipindi cha tv show kwenye TV za Tanzania. Ila sijui mikataba ya vipindi Tanzania Ina kuwa je. Show hiyo itakuwa ni ya kusafiri kila nchi. Ila kwa kuanzia naanza kusafiri kila mkowa wa tanzania na kuongea wenyeji. Lengo kubwa itakuwa ni kuonyesha fursa za biashara, kazi...
  2. N

    Ben Saa Nane Look at you!

    Ni mwaka gani yalisemwa hayo maneno? Na msemaji wake ni nani? Je kilichosemwa kilitokea kweli? Na je Msemaji ni mtu mwema kweli?
  3. N

    Kumbe Ben Saa * aliwahi kuambiwa "Ben Look at You! na Dr Nchemba!

    Sikuwahi kuiona hii, After almost nine years I now see it. Kumbe mambo enzi hizo yalikuwa ni mambo kweli kweli!
  4. Dr. Mwigulu Nchemba

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Ndg wana JF salaam? Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa 1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe. 2)...
  5. J

    Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa. Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa...
  6. D

    Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

    Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
  7. ndege JOHN

    Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

    Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za...
  8. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Ndani ya Saa 72

    MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
  9. Roving Journalist

    Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  10. BARD AI

    Unafahamu chakula unachokula kinaweza kukaa katika Mfumo wa Mwili wako kwa saa 12 hadi miaka 2?

    In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten. The rate is also based on factors like your gender, metabolism, and whether you have any digestive issues that could slow down or speed up the...
  11. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  12. Lady Whistledown

    Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  13. Masandawana

    Kwa ushangiliaji huu, kama ingekuwa Viwanja vyetu huku, hiyo simu saa hizi ingekuwa wapi?

    Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji. Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
  14. Azer Zepha

    Msaada wa muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro

    Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
  15. AmKATRINA

    Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  16. N

    Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv. Huyu dada ni singo mama... Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia.. Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
  17. R

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  18. Kifurukutu

    Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

    Igweeeeeeee Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
  19. Ziroseventytwo

    Hali ya hewa itakavyokuwa kuanzia leo saa 3 usiku mpaka saa 7 usiku

    Natabiri kuanzia saa 3 usiku wa leo, wale nzi na vyura wa kijani popote pale hapa nchini, watakuwa kimya huku wale ngedere na simba wekundu wakipiga kelele za hapa na pale. Wakishangilia wenzao wakipata kipigo na mateso makali kama yale ya Yesu msalabani toka kwa Masandawani. Natabiri. kuanzia...
  20. GENTAMYCINE

    Tulitangaziwa Ndege itawasili Asubuhi Saa 4, ila imewasili / inawasili Mchana huu

    Rais angekuwepo bado Kipenzi cha Wengi na changu hasa GENTAMYCINE Hayati John Pombe Magufuli ( JPM ) Ndege hii ingewasili muda ule ule wa Asubuhi kama tulivyotangaziwa. Ukiona unapuuzwa huku ukiwa wa Muhimu katika Ardhi fulani jua hufai na hata katika Vita hutakiwi Kuaminika kwakuwa huna...
Back
Top Bottom