Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!
Hivi tupo serious kweli hii nchi?
Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala.
Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya.
Mamlaka za Dar...
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo.
Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
NYUMBA INAUZWAAA BEI CHEEEE
NYUMBA IPO KIGAMBONI MWEMBE MTENGU...
Master 2
Living room 2
Kitchen 1
Public toilet 1
Dinning 1
Seating 1
Ukubwa eneo 400sqm(20*20)
Bei milion 29
MAWASILIANO
+255784379396
+255789782415
Email: leonapolinary@gmail.com
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa Kasi.
Ukitoka Mji Mwemba mpaka Pemba mnazi Kuna sehemu lami inaishia, Kimbiji ya miaka 10 iliopita...
Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa
Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia karibia million Sita
Uchumi wake ni gdp karibia 500 billion usd. Kwanini tunazidiwa na nchi ndogo kiasi...
Wasaaaalamu
Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
Habari wadau,
Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni
Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake.
Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
Habar wanamajumui, niende moja kwa moja kwenye mada,
Mashine za kutolea Hela (ATM) za bento ya CRDB eneo la Kigamboni zinasumhuq saana hasa wakati wa siku za wiki, mfano wa ni ile ilioko kituo cha Mbuyuni karibu na Ilioko Kigamboni Ferry wakati mwingine ziko slow saana ha mara nyingi...
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka.
kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba.
Ukubwa ni 45 kwa 35 metres.
Bei ni million 30 tu.
Umbali kutoka barabarani ni km 2
Mawasiliano 0715128827
Hospitali ya Vijibweni Kigamboni ndani ya Dar es Salaam kuna kero ya vyoo ambayo ni hatari kwa watumiaji.
Vyoo hivyo vya ni vichafu kwa ndani, vinanuka harufu kali mno kuna uchakavu mwingi pia sasa ni zaidi ya miezi mitatu hakuna taa za chooni na chache zilizopo haziwaki, kila nikienda hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.