Nyakijooga
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 133
- 226
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala.
Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya.
Mamlaka za Dar es Salaam na Wilaya ya Kigamboni zinazohusika ziko wapi?