kigamboni

  1. Mchapakazihalisi

    Ndugulile afurahia ujenzi wa veta Kigamboni

    Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) leo amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa chuo cha VETA cha Wilaya ya Kigamboni. Ujenzi huu unaofanyika kwa awamu unatarajia kiwa na majengo 24. Dkt Ndugulile aliishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kujenga chuo hiki katika Wilaya ya Kigamboni...
  2. GENTAMYCINE

    Mnacheza Mechi ya Kirafiki na Wazoa Taka wa Kigamboni mnashinda Goli 20 kwa 0 mnajisifu

    Kama mnajiamini ombeni hata kwa bahati mbaya tu Mechi ya Kirafiki na Safiri Mafungu Mafungu FC mcheze nao mkione cha mtema kuni na Golini hakutokuwa na Kipa kwakuwa ameumia Kimiujiza akiwa amekaa tu katika Kiti chake akichati na Mkewe Kwao Pele Ronaldo Gaucho Neymar Nation.
  3. H

    Site visit reprentative is needed Kigamboni DSM

    Habarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am Uwe na vitu hivi personal prptective equipment. 1. Steel toe safety boot 2. Cotton overcoat 3. Helment Representing company Ten associates P.O.Box...
  4. Mama Amon

    Profesa Tibaijuka, Apson Mwang'onda na Mradi wa Kuuza Kigamboni kwa Marekani

    Hayati Apson Mwang'onda akisalimiana na Mwamba Kuna wakati Profesa Tibaijuka, Waziri wa Ardhi wakati huo, alikuwa anaratibu mradi kabambe wa Kigamboni. Wamarekani ndio walitaka kuujenga kwa mfumo wanaoutaka wao ili wautumie kwa namna wanavyotaka wao. Ndani ya kivideo cha awali kwa ajili ya...
  5. N

    Wakazi wa kigamboni naomba assistance nahitajiMaster rooom(single self) maeneo ya kibada, ungindonii au mji mwema

    Habarii great thinkers, Naomba assistance Kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu. Natafuta room ya kupanga iwe na choo ndani(single self) mazingira yawe na usalama Nahitaji kuhamia harak sana. Yoyote mwenyej taarifa kindly assist me Natanguliza shukrani 🙏
  6. Ng'wanamangilingili

    Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

    Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi? Kwa maendeleo ya mpira.
  7. K

    Boma linauzwa, kigamboni, maweni. 3,500,000

    Boma linauzwa kigamboni,maweni Bei 3,500,000 Piga simu 0712347749
  8. K

    Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] 💥

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
  9. sky soldier

    Hawa wajasiriamali maarufu chini ya miaka 30 wanapoteleaga wapi kibiashara wakishavuka miaka 30?

    Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni ya sola, aliingia madeni sijui yupo wapi kwa sasa Jokate Mwegelo - Biashara ilianza kwenda hovyo...
  10. SaidJuma123

    Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  11. A

    House4Rent Nyumba zinapangishwa Kisota Kigamboni

    Nyumba mbili zinapangishwa Kisota Kigamboni, barabara ya Damian Do Amsi Road, Kilometa 8 kutoka Feri). Nyumba moja ni ya vyumba 3 (self-contained with a master bedroom). Nyumba nyingine ni chumba kimoja cheny sebule, jiko na choo ndani. Nyumba zote ziko ndani ya uzio mmoja na kila moja ina mita...
  12. K

    House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje. Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849. Nyumba ina vyumba 3. Master 1, viwili vya kawaida Choo cha public kipo ndani kingine nje. Sittingroom, deningroom Flem za biashara 2. Kozi 2 ya uzio Eneo la kujenga mabanda ya uani...
  13. T

    Hitilafu ya Pantoni Kigamboni

    Wanajamvi Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati. Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.
  14. Escrowseal1

    Anaejua sakata la jamaa wa Kigamboni waliojiunganishia bomba la mafuta liliishia wapi atujuze

    Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu. Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje. Ama ukiona hili...
  15. Rich Dad

    Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  16. DaveSave

    African man dem village, sehemu ya bei nafuu ila luxury, Kigamboni

    Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni. Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo. You...
  17. GENTAMYCINE

    Kama Bush na Wamarekani hawajainunua Kigamboni kama inavyozidi kuenezwa Mamlaka ikanushe tafadhali

    Na kama ni kweli nitahitaji majibu, kwanini wamepewa eneo la beach jirani na waliko mabaka mabaka na eneo lisilo mbali kimkakati na Jumba kubwa analolala Mama na Baba yetu Hafidhi.
  18. danhoport

    Inahitajika nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, inahitajika nyumba kubwa ya kupanga ya familia yenye parking kuwe na usalama, kodi isizidi 300K kwa mwezi.
  19. D

    Matumizi ya N-card Kivukoni Kigamboni siyo shirikishi; yanafyeka salio la wananchi kimya kimya. Fanyeni hivi kuondoa tatizo

    Matumizi ya Card kwenye vivuko ni mazuri lakini yamekuja na changamoto ya kuibia wananchi pesa zao kielektronikia! Nauli ya kivuko ni tsh 200 kwa watembea kwa miguu, na elfu 1500 au 2000 hata zaidi kwa magari! Pesa hiyo hukatwa unapochanja (scan)! ZIFUATZO NI BAADHI YA CHANGAMOTO 1. Yapo...
Back
Top Bottom