Katika ujenzi hasa wa majengo marefu (maghorofa) matumizi ya nondo ni jambo lisilo epukika.
Baada ya kupata michoro kutoka kwa msanifu majengo (Archtect) michoro hiyo haina budi kupelekwa kwa structure Engineer ili iweze kufanyiwa hesabu.
Lengo la kufanya hesabu ni kujua ni nondo za aina gani...
Salaam,shalom,
Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo.
Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi wilayani Busega, Lamadi kutokana na maji ya ziwa kuongezeka na kufunika ardhi MITA Hadi SITA kuja juu...
Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama.
Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi.
Stoo...
Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba.
Ramani ya hifadhi za Taifa Tanzania
Picha toka mtandaoni Wikipedia
Mfano wa hifadhi hizi ni Serengeti, Mikumi, Saadani...
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA.
Eneo hili lipo karibu kabisa na MAKAZI ya watu hivyo ni hatarishi wakati wa mvua na kupelekea mafuriko hapo baadae...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo...
Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo;
1. Kuharibu barabara
2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa.
Juzi ulikuwa hapa Mwanza na uliamuru nyumba ya Wakili msomi kuvunjwa.
Wakati nyumba inavunjwa Wakili...
Ni tumaini langu wote wazima.
Naandika uzi huu kwa ombi la msaada. Kwa kweli, mambo yameniendea ovyo, nikiwa jijini Dar es Salaam.
Kazi ilisimama, katika kusaka nyingine, kodi ya nyumba ikaisha nikiwa sina kitu.
Hapo nyuma, familia nayo inanitegemea kwa kila kitu.
Kiukweli, ukilinganisha...
Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero.
Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa.
Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje.
Mnatupeleka wapi maana hatujui...
Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007 kinatamka kila mtu mwenye taarifa kuhusu kufanyika kwa vitendo vya rushwa au mpango wa kufanyikwa kwa vitendo vya Rushwa anawajibika kutoa taarifa kwa TAKUKURU.
Ukikosa huduma katika mazingira ya Rushwa, Sheria hiyo...
HARAKATI CHAFU ZA RC WA MBEYA JUMA HOMERA KTK JIMBO LA NAMTUMBO ZINAHARIBU KAZI NZURI INAYO FANYWA NA RAIS SAMIA KTK UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.
Hivi sasa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera hakai kituo chake cha kazi Mbeya badala yake yupo kila mwezi anakwenda Ruvuma kufanya kampeni za Ubunge...
Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa!
Pori hili...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema hadi kufikia Desemba mwaka jana, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ulikuwa unadaiwa jumla ya Sh6.37 trilioni na watu mbalimbali za fidia na malipo ya makandarasi na wahandisi washauri wa ndani na nje ya nchi.
Kwa mujibu wa kamati hiyo...
Msaada wakuu
Kati ya nyumba hizo mbili ipi itangulie kwa mtu anaejitafuta? Mfano mtu ana kiwanja ambacho kinafaa kwa yote mawili either makazi binafsi or biashara (Fremu za maduka, Lodge, appartments) kipi utamshauri aanze nacho ukizingatia hawezi kwenda na vyote viwili at once ni lazima...
Habari ya majukumu wakuu
Bila kuwachosha sana niende moja kwa moja kwenye mada, nilinunua kiwanja kwa ajili ya makazi pemebezoni mwa mji kipindi hicho bado palikuwa hapajachanganya sana kama sasa lakini kadri siku zilivyokuwa zinazidi kwenda paliendelea kubadilika na palichanganya sana kutokana...
Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi.
Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
Kuna vitu nchi hii vinafanyika kihuni sana. Hivi nani anatoa kibali kujenga Vituo vya Mafuta bila kujali umbali unaotakiwa wala kuangalia athari kwa makazi ya watu? Pale Baracuda Tabata kuna Vituo vitatu vinajengwa ndani ya eneo moja tena vimekaribiana mno kiasi ambacho unajiuliza kwanini hatua...
Taarifa ya sensa ya watu na makazi, kwa kiasi kikubwa, inatoa taarifa za "saiti" kukoje. Kaya, mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa. Mwanasiasa akifanikiwa kuzichimba na kuzishika takwimu za sensa, akienda mahali akapiga siasa. Anakuwa na uelewa wa eneo husika kiuchumi, kijamii na hata kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.