Antivirus
New Member
- Jun 29, 2016
- 3
- 3
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA.
Eneo hili lipo karibu kabisa na MAKAZI ya watu hivyo ni hatarishi wakati wa mvua na kupelekea mafuriko hapo baadae.
Pia malori yanayobeba MCHANGA yameharibu kabisa barabara na haipitiki tena kwa wenye magari madogo na waenda kwa miguu.
Je, nini umuhimu wa Mwekezaji katika eneo?