Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema hivi karibuni kuwa hakunakitazuia serikali ya mama Samia kufikisha watalii watalii milioni 5 ifikapo mwaka 2025.
Soma pia: Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6.
Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya Sekta ya Nishati nchini ili kuwezesha wananchi kufikiwa na huduma stahiki bila kujali umbali na vipato vyao.
Dkt. Mataragio ameyaeleza hayo jijini Dar...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SERIKALI INALENGA KUBORESHA MIUNDOMBINU YOTE NCHINI
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ni kuboresha miundombinu yote nchini, ikiwemo ya uchukuzi, ili kuongeza ufanisi katika...
Salaam Wakuu,
Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni kukabili changamoto zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam kwa kutilia mkazo uboreshaji wa huduma za...
Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara.
Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha kuelekea uchaguzi tofauti na kipindi lingine.
Mwanongwa natamani uchaguzi uwe unafanyika kila baada...
TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne.
Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza...
Moja kati ya vitu ambavyo nilikuwa najiuliza ni kama Watanzania tunaweza kutunza Miundombinu yetu ya Reli ya SGR, bila unafiki ukiitazama imekaa poa kwa asilimia kubwa.
Lakini jioni ya leo Oktoba 18, 2024 wakati najiandaa kusafiri na usafiri huo nilipoingia kwenye Choo cha Kituo cha SGR Dar...
Kwanza wanachelewa kuamka kwenda kazini.
Pili, ving'ora na usumbufu mwingi kwa kelele barabarani.
Tatu wanapita hata sehemu za barabara zisizoruhusiwa kupita magari na hivyo kubomoa, mfano sehemu za waenda kwa miguu.
Hili nimelishuhudia leo asubuhi Service road Bagamoyo road asubuhi ya leo...
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
Ndugu zangu Watanzania,
Kampuni mbili kubwa, Adani Group ya India na Gridworks Development Partners LLP ya Uingereza, zimeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa kusafirisha umeme nchini Tanzania kupitia mfumo wa ubia. Mradi huo unalenga kujenga njia za kusafirisha umeme wa juu kwa lengo la...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5.
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Sekta ya Afya kwa kujenga Hospitali pamoja na vituo vya Afya katika...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho ziende sambamba na kodi na tozo wanazotozwa Wananchi ambao wamekuwa wakifika eneo hilo.
Kwa sasa licha...
RAIS SAMIA ATO ZAIDI YA BILLIONI 39 KWAAJILI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILALA.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ameipatia Wilaya ya Ilala zaidi ya Bilioni 39 kwaajili ya kutatua changamoto za miundombinu ya barabara amepeleka mradi wa DMDP na wakandarasi...
Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu.
Ameendelea kuonyesha namna...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.