Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani
Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito.
TANROADS kwanini wamekaa kimya?
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS
Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
Siku hizi kumezuka Tabia za ma lorry Makubwa Kwa magari kuegeshwa Pembe zoni mwa barabara au kwenye njia za waendao Kwa miguu , hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na Kwa madhumuni hayo. Na pia zina kiuka Haki za watumiaji wengine WA sehemu hizo, iwe...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufanya tathimini ya mtandao wa barabara pamoja na madaraja yaliyopata...
Ushauri na michango ya kimawazo kwa TANROADS kuhusu kuomba kuingiza elimu ya jiolojia na uhandisi wa ujenzi kama sehemu inayojitegemea kabla ya kuanza ujenzi wa miundombinu kama madaraja, mitaro, na barabara ni njia ya kuboresha mchakato wa ujenzi na kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza...
Mchina amemwaga tope na sasa leo na mvua hii ya tangu saa 9 usiku mpaka sasa hapapitiki.
Tafadhali njooni mkwangue mtoe huo "uji" ambao umeweka madimbwi kwenye kipande hicho.
Kutoka Chalinze kwenda daraja la wachina.
Actually ni mpaka kwenda Kibaoni junction ya kwenda Mgwisha.
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro wameendelea kuchukua hatua za haraka kuziba mashimo yaliyotokeza katika barabara kuu ya Morogoro – Iringa hasa eneo la hifadhi ya Taifa Mikumi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha kwa wiki ya pili mfululizo Mkoani humo.
Hayo yameelezwa na...
Habari za wakati huu!!
Mimi ni muhitimu wa:
1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018
2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022
✓chuo cha MUST.
✓ Uzoefu wa miaka 3+
NATAFUTA NAFASI YA KAZI KATIKA KAMPUNI AMA USIMAMIZI WA MIRADI(SITE) KAMA CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental).
Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi...
Timu ya wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanaendelelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja hilo linalounganisha barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kukatika na kusababisha...
Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25.
Akizungumza kwa niaba ya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo zimekuwa zikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara na kuwasilisha taarifa hizo kwa wakuu wa Mikoa ili...
Kuna mikataba mipya mingi imesainiwa, na vile vile kuna barabara mpya zimejengwa, na tunasikia urefu wa barabara zinazoitwa "trunk roads" zimeongezeka.
Swali watabadilisha lini ramani yao inaonesha trunk roads hizo; watabadilisha lini procurement zilizopita au kukamilika kwenye wavuti yao n.k?
Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara.
Barabara tunaipenda ila ni walipe...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kupelekea miumbombinu kuharibika ndani ya muda mfupi.
Bashungwa ametoa...
1.Position: CAD Technician (1 Post)
Key Entry Qualifications:
Must be a Tanzanian Citizen who is a holder of Diploma in Civil Engineering, Highway Engineering or equivalent from a recognized Institutions with working experience of at least five(3)years in related field. He/she must have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.