Wavuti wa TANROADS utabadilisha lini taarifa?

Nsibwene

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
207
135
Kuna mikataba mipya mingi imesainiwa, na vile vile kuna barabara mpya zimejengwa, na tunasikia urefu wa barabara zinazoitwa "trunk roads" zimeongezeka.

Swali watabadilisha lini ramani yao inaonesha trunk roads hizo; watabadilisha lini procurement zilizopita au kukamilika kwenye wavuti yao n.k?
 
Back
Top Bottom