teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusolve

    SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  2. Kang

    Google wanaongeza teknolojia za kuwakwaza wezi wa simu kwenye Android

    Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play. Android’s theft protection features keep your device and data safe Theft Detection Lock Simu itatumia AI...
  3. Abubakari Mussa

    Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu. Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
  4. Limbu Nation

    Ifahamu Rebar Coupler: Teknolojia mpya ya kuunganisha nondo ukiwa site ili kupunguza matumizi ya nondo

    Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na wachina katika shughuli ya ujenzi. Mfano katika ujenzi wa bwawa umeme la mwalimu Nyerere (JNN)...
  5. B

    SoC04 Serikali kukuza teknolojia kwenye nyanja zote

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  6. kilio

    SoC04 Mapambano dhidi ya taarifa chonganishi "Misinformation" zinazotokana na programu za akili bandia “generative artificiai intellegence (Gen AI)"

    Tusipo jiandaa mapema, Watanzania wanaweza wakatumbukia kwenye dimbwi kubwa la migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa matukio yenye uhusiano na magonjwa ya akili. Hii ni kutokana na madhara yatakayosababishwa na program za Akili Bandia zenye uwezo wa kutengeneza...
  7. B

    SoC04 Serikali kukuza teknolojia kwenye nyanja zote

    1. Kwanza kabisa Mbinu au maono ambayo yatatumia zaidi ya miaka mitatu na kuendelea Ni Kuhakikisha SERIKALI inawarahisishia wanainchi Kwenye Upatikanaji wa maji na Ulipaji wake kupitia njia ya kisasa kuendana na kasi ya Dunia, Kulipia Maji kwa mita ambazo utalipia kabra mwananchi hajatumia Maji...
  8. Koffi Annan

    Ijue teknolojia ya OLED inayotumika katika kutengeneza TV za kisasa.

    Teknolojia hii ya utengenezaji wa screen za TV ilianzia zamani miaka ya 1950 lakini matumizi yake yameanza miaka ya 2010 kama zilivyo teknolojia nyingi ambazo huchukua miaka hadi kufanyiwa kazi kwa ufanisi, LG Electronics ndio kampuni ya kwanza kuzalisha TV za aina hii mwaka 2010 ila mpaka sasa...
  9. X

    China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

    Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and...
  10. BARD AI

    Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
  11. Mdeke_Pileme

    SoC04 Utajiri Uliojificha Kwenye Koti La Kimaskini, Ni Mda Muafaka Sasa Wa Kulifufua. Iundwe Wizara Mpya Ya Sayansi ,Technologia na Uvumbuzi.

    TANZANIA TUITAKAYO NA MAARIFA YA KUJITEGEMEA. Binadamu tunakabiliwa na changamoto kubwa za kimaisha ambazo zinahitaji suluhisho hasa katika masuala ya kiteknolojia. Ikiwa ni pamoja na jinsi ya kufikia maendeleo endelevu ya Tanzania Tuitakayo, hapa tunaongelea kuchochea uchumi wa masoko wenye...
  12. G

    JF imenitoa ushamba, miaka mitano natumia external kucopy mafaili speed niliyozoea MB 16 kwa sekunde kumbe natumia teknolojia za zamani

    Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea" Ndipo nikagundua na mimi nimefanywa dampo la wafanyabiashara kujipigia pesa kwa kuuza vitu vilivyopitwa na...
  13. N

    SoC04 Uwekezaji katika nyumba janja za wageni

    Utangulizi Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu wawasilipo nchini. Nyumba hizi za wageni zimekuwa zikijengwa zaidi katika Majiji ya Dar es Salaam...
  14. Penguini

    Wakemia wa sabuni wamepitwa na teknolojia?

    Habari zenu wana jamvi, Kila mmoja wenu anajua kuwa unapoosha kichwa ama uso kwa sabuni, mapovu, huwasha machoni, je kwa zama hizi bado tuna ubunifu 'dhaifu' kiasi hicho? Juzi juzi nimeugua macho, ule ugonjwa uliovuma sana, na kwa kuwa kipindi cha virusi vya korona tuliambiwa kuwa virus...
  15. T

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  16. Kaka yake shetani

    Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
  17. A

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia

    Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
  18. tamsana

    SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  19. J

    SoC04 Teknolojia ya vitambuzi mwendo kutatua changamoto za uvamizi wa Wanyamapori katika makazi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa

    Tanzania imebarikiwa kwa kuwa na hifadhi nyingi za taifa, hifadhi hizi zikiwa chini ya mgawanyiko wa: Hifadhi za taifa, hifadhi teule,hifadhi za mawindo na mapori ya akiba. Ramani ya hifadhi za Taifa Tanzania Picha toka mtandaoni Wikipedia Mfano wa hifadhi hizi ni Serengeti, Mikumi, Saadani...
Back
Top Bottom