Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea"
Ndipo nikagundua na mimi nimefanywa dampo la wafanyabiashara kujipigia pesa kwa kuuza vitu vilivyopitwa na wakati
Kwa miaka mitano nilikuwa natumia kasha la kuweka harddisk limeandikwa usb 2.0 ila sikutilia maanani, Speed niliyokuwa naipata kwenye kuhamisha mafaili ni MB 15 hadi 17 kwa sekunde, muda wote huu niliizoea hii speed kuona ni kawaida,
Baada ya kuelimishwa humu jf nilichomoa hard disk kwenye kasha la usb 2.0 nikaibeba kwenda nayo duka la vifaa vya computer, nikaomba wanipe kasha la usb 3.0 nikaipachika hard disk
Nilitest kuhamisha file la gb 2, Speed ilikuwa MB 40 kwa sekunde, chini ya dakika moja kazi ilimalizika
Nimenunua kasha kwa elf 15.
ni vizuri kuwa informed na mambo ya teknoloji, imenisaidia