teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
  2. wanzagitalewa

    Kukua kwa Teknolojia ya Mawasiliano kunavyochangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Tanzania

    Na Bindu Hassan, UDBS Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inavyoweza kuchangia zaidi katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Dkt. Chaula ameeleza kuwa...
  3. wanzagitalewa

    Teknolojia ya Kidijitali ilivyo fursa ya kukuza uchumi endelevu Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya kidijitali nchini Tanzania imezidi kukua na kulisaidia taifa hili kuwa moja ya taifa linalokuwa kwa kasi kwenye eneo la teknolojia ya kidijitali Afrika Mashariki. Ni wazi kuwa ukuaji huu umechangia kwa kiasi kikubwa kufungua fursa mbalimbali za...
  4. Gama

    Kagera: kwanini hamuachi teknolojia hii?

    Pamoja na uwepo wa teknolojia mbalbali nyie bado Zama hizi mnakamua juice kwa kukanyaga?
  5. wanzagitalewa

    Teknolojia ya kidijitali inavyoweza kuboresha Elimu Tanzania

    Wiki hii serikali imetangaza mpango wa kutekeleza mkakati mpya unaolenga kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa elimu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo alieleza dhamira ya serikali wa...
  6. Patiee

    Wajue waanzilishi wa makampuni makubwa ya teknolojia

    Teknolojia ikiwa imechukua nafasi kubwa ya maisha yetu katika kipindi hiki , ni vigumu kupita siku haujatumia applications , search engines , operating systems au kwa ujumla software ambazo ni zao la uvumbuzi wa watu ambao leo tunawaita vichwa wa teknolojia. Stori nyingi zinazoshika chati...
  7. wanzagitalewa

    Teknolojia ya kidijitali ilivyo na fursa kwa Watanzania

    Ni wazi kuwa mapinduzi ya kidigitali yamekuwa na mabadiliko makubwa katika namna watu wanavyoishi kwenye miaka ya karibuni. Kwa bahati nzuri, mabadiliko haya yamekuja na fursa mbalimbali na pia yameipatia Tanzania nafasi ya kukuza uchumi wake Zaidi. Katika ripoti yake ya hivi karibuni Benki...
  8. Yoyo Zhou

    Uamuzi wa Uingereza kuipiga marufuku kampuni ya Huawei ni hasara kwa Uingereza na maendeleo ya teknolojia ya huduma ya 5G

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
  9. FrankLutazamba

    Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  10. R

    Naomba kujua teknolojia ya Encyption imekaaje?

    Wakuu Nawasalimu, Hiii teknolojia ya encyption huwa inanipa maswali mengi san. Kuna teknolojia mabalimbali kama MD5 na SHA-256 ambazo unaweza kutengeneza keys mbili. Moja ni private key ambayo unakuwa nayo mwenyewe na nyingine ni public key. How comes siwezi kupata private key kutoka kwenye...
  11. wanzagitalewa

    Maendeleo ya teknolojia ya kidijitali na umuhimu wake kwenye kukuza uchumi Tanzania

    Duniani kote suala la matumizi ya teknolojia ya kidijitali linakua kwa kasi kubwa sana na kwa kiasi fulani kunachagizwa na matumizi ya intaneti/data kupitia simu za mkononi. Kwa mujibu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo, matumizi ya data duniani kote yanatarajiwa...
  12. wanzagitalewa

    Nafasi ya kampuni za simu katika kukuza teknolojia Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, dunia imeshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia hasa linapokuja suala la matumizi ya simu. Hakuna ubishi wowote kwamba intaneti kwa njia ya simu imeleta tija kubwa katika shughuli zetu. Katika ulimwengu wa biashara imesaidia watu kuwasiliana na...
  13. FRANC THE GREAT

    STEALTH (LOW OBSERVABLE) TECHNOLOGY | Teknolojia ya ndege kutoonekana/kutotambulika na rada (RADAR)

    GTs na wadau wote wa JamiiForums kwa ujumla, habarini! Kabla ya yote, niombe ukaribu wenu hapa katika hiki ninachokwenda kukiwasilisha kwenu. Natumai tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho katika uchambuzi wa kina kuhusiana na teknolojia ya stealth ambayo imekuwa ikisifika hasa katika...
  14. Yoyo Zhou

    Mshauri wa ngazi ya juu wa UM apendekeza Afrika kujiendeleza katika ujenzi wa teknolojia

    Mshauri wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa Bi Jacquline Musiitwa amesema, maambukizi ya virusi vya Corona yameathiri vibaya uchumi na biashara za Afrika, huku thamani za sarafu za nchi nyingi za Afrika zikishuhudiwa kuporomoka zaidi. Amezihimiza nchi za Afrika kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi...
  15. wanzagitalewa

    Nafasi ya teknolojia ya kidijitali katika kuendeleza uchumi wa Tanzania

    Katika miaka mitano iliyopita, idadi ya watumiaji wa simu katika eneo la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara imeongezeka mara dufu. Kwa mujibu wa GSMA (Shirika la Kimataifa la Makampuni ya Simu), mpaka mwisho wa mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa simu za mkononi katika eneo hili ilikuwa...
  16. The Certified

    Ifahamu teknolojia ya qr code na ujipatie sasa

    IFAHAMU TEKNOLOJIA YA QR CODE Je! Umewahi Kufikiria Kuhusu Kuunda Msimbo Wa QR CODE Kwa Ajili Ya Biashara Yako? QR Code (Au Msimbo Wa QR CODE; Kutokana Na Kiingereza Quick Response Code) Ni Maandishi Au Picha Zilizo Na Mpangilio Maalumu Ambazo Huweza Kusomeka Kwa Kutumia Kifaa Maalum Kama Simu...
  17. Analogia Malenga

    Microsoft haitauza teknolojia ya utambuzi wa sura, hadi itakapoundwa sheria mpya

    Kampuni ya Microsoft imeungana na washindani wake, Amazon na IBM kukataa kuuza teknolojia ya kutambua sura kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo Wamesema hawatawagea teknolojia hiyo hadi itakapotambulika namna ambayo itatumika huku ikiheshimu haki za binaadamu Hatua ya hiyo imekuja kama...
  18. wanzagitalewa

    Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

    Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ukuaji wa uchumi. Moja ya teknolojia hizo bunifu ni huduma za afya kidijitali (m-health). Katika nchi nyingi huduma hii imekuwa muhimu ikisaidia...
  19. TECNO Tanzania

    Tecno spark 5, simu yenye kamera 5 kuzinduliwa

    Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao ambayo kwa mara ya kwanza ilitanguliwa na TECNO CAMON 15. Akizungumza kwa njia ya simu leo jijini...
  20. M

    Chanzo cha umasikini Afrika sio viongozi ila ukosefu wa ujuzi wa sayansi na teknolojia

    Jibu rahisi la waafrika wote ambalo wamepewa na mabeberu, la kwanini Afrika ni masikini, ni 'ubaya na kasoro za viongozi wetu'. Lakini jibu sahihi ni ukosefu wa ujuzi wa kisayansi na teknolojia, kuzalisha na kutengeneza bidhaa kwa kutumia malighafi na madini yetu. Kwa sababu sio rahisi kupata...
Back
Top Bottom