kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ncha Kali

    Moja ya sababu kwa ndoa za kisasa kuyumba na kuvunjika hovyo hovyo ni kufifia kwa matumizi ya limbwata.

    Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga mifumo iliyofeli kutokea huko ilikotoka, tukaikumbatia na kuacha mifumo yetu. Sasa basi, unaambiwa...
  2. R

    SoC04 Kilimo na Ufugaji wa Kisasa: Kuifanya Tanzania Mpya kwenye Kilimo kwa Kuilisha Dunia

    Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia. Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye utulivu na uhuru wa...
  3. Koffi Annan

    Ijue teknolojia ya OLED inayotumika katika kutengeneza TV za kisasa.

    Teknolojia hii ya utengenezaji wa screen za TV ilianzia zamani miaka ya 1950 lakini matumizi yake yameanza miaka ya 2010 kama zilivyo teknolojia nyingi ambazo huchukua miaka hadi kufanyiwa kazi kwa ufanisi, LG Electronics ndio kampuni ya kwanza kuzalisha TV za aina hii mwaka 2010 ila mpaka sasa...
  4. J

    Majiko ya kisasa yanayotumia oil chafu

    MREI Company Limited ni watengenezaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia inayotumia Oil chafu, lakini pia wanahitaji support kutoka kwa wadau na serikali ili kuweze kuiendeleza technologia hii ili iweze kua na matokeo chanya katika uchumi wa Taifa, utunzaji wa mazingira, uondoaji wa...
  5. N

    Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  6. J

    Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
  7. Dr Matola PhD

    Swali kwa vijana wa kisasa, hizi nyimbo zinazopigwa na Madj wa kisasa ni kweli mnazipenda au mnafuata mkumbo?

    Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu. Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi Kwa mtu...
  8. Mad Max

    LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

    Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine inaitwa China Auto Show ndio show kubwa kulizo zote Duniani ya magari ambapo makampuni mbalimbali...
  9. MINING GEOLOGY IT

    Teknolojia za Kisasa Zilizotumiwa Kujenga Burj Khalifa ndani ya Mzunguko wa Siku Tatu

    Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi, burudani, maduka, na vituo vya starehe. The Burj Khalifa Tower ilifunguliwa kwa umma mnamo Januari...
  10. Vichekesho

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  11. I

    Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  12. I

    Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  13. matunduizi

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  14. B

    Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
  15. LugaMika

    Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. ★ ★★★ ★★★★★★★★★★★★★★★★★★ OFA OFA OFA OFA...
  16. ndege JOHN

    Kipi kinakufanya utumie mayai ya kisasa na sio ya kienyeji?

    Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi. Lakini nyumba nyingi na maduka mengi utakuta tray za mayai ya kisasa ni mengi zaidi na biashara yake...
  17. JanguKamaJangu

    TRC: Seti ya Kwanza ya Treni ya Kisasa ya EMU, Vichwa Vitano vya Umeme na Mabehewa Matatu ya Abiria imewasili

    TAARIFA KWA UMMA KUWASILI KWA SETI YA KWANZA YA TRENI YA KISASA EMU Dar es Salaam, Tarehe 03 Aprili 2024 Shirika la Reli Tanzania TRC linautaarifu umma kuwa Seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU, vichwa vitano vya umeme na mabehewa matatu ya abiria yamewasili katika bandari ya Dar es Salaam...
  18. L

    "Makubaliano ya Dar es Salaam" yazidi kuvunja fikra potofu kwamba "maendeleo ya kisasa ni sawa na mambo ya kimagharibi"

    Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa kati ya China na Afrika," unaojulikana pia kama "Makubaliano ya Dar es Salaam." Kama mafanikio muhimu...
Back
Top Bottom