swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  2. Edson Eagle

    Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

    Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
  3. LIKUD

    Ney Wa Mitego You are The True Son Of Your Father. Kwenye hii ngoma yako mpya " Bachelor" umeweza sana kaka. Hakuna swali.

    Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban. A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
  4. JamiiForums

    SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
  5. nzalendo

    Swali kwa TRA na NEMC

    Naomba kufahamishwa kodi ya basi jipya la umeme toka China la thamani ya dola za kimarekani 6000 nitalipa sh ngapi.. Na ninyi watu wa mazingira je?mwaweza kunipa kibali cha unafuu niletapo basi hili?...nikiwa na maana kwamba halichafui mazingira....
  6. DR HAYA LAND

    Naomba kuuliza swali kwa mnaofanya kazi ambazo zina-link na jamii

    MTU mwenye uwezo mkubwa wa kufanya majukumu Kama haya Anaweza kuajiriwa Kama nani katika NGO au Taasisi Kama TASAF, Amref, Tacaids n.k. MTU mwenye haya mambo Counselor Mentor Psychotherapy People builder Pia MTU anayetoa personal growth and self -development. Nahitaji kujua huyu MTU anaweza...
  7. Dr Matola PhD

    Swali kwa vijana wa kisasa, hizi nyimbo zinazopigwa na Madj wa kisasa ni kweli mnazipenda au mnafuata mkumbo?

    Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu. Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi Kwa mtu...
  8. hp4510

    Nini kinasababisha wanawake kupoteza hamu ya mapenzi na wanaume zao?

    Wadada wa jf Mke wa mdogo wangu anampenda sana dogo, anaplay part zote za wife Na wamezaa watoto 2 Shida imeakuja miezi michache iliyopita ni kwamba shemeji hataki kufanya sex kabisa Dogo anasema akimshika tu inakuwa ni ugomvi hataki, anasingizia hana hamu, ana homonyms balance, but dogo...
  9. H

    Swali ambalo wanaotetea kikokotoo kipya Huwa hawataki kujibu

    Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani, Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi, Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha.. Hili ni maalum kwa WALE WANAODHANI KIKOKOTOO KIPYA NI KIZURI, SWALI: mwalimu YASINI amestaafu akiwa na mshahara basic tsh...
  10. Halaiser

    Swali kwa Wana Kawe

    Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??
  11. I am Groot

    SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

    Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa nyama; ni kifo cha namna gani ungechagua? 🤕Pamoja na hilo; ni kifo cha namna gani unaomba sana...
  12. U

    Kanisa ni wapi?

    Hamjambo wana jf, Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu. Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya. 1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama ni jengo? Na kama ni mtu kwanini tunaenda kanisani ? Na kama ni mkusanyiko wa watakatifu...
  13. LIKUD

    Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

    Sisi wafuasi wa dini za kiafrika tuna amini kwamba Mwenyezi Mungu (Chanzo cha vitu vyote ) alituumba wana wa dunia na kutuweka kwenye sayari ya dunia ili tuweze kujibu maswali mbalimbali ambayo yeye Mwenyezi Mungu ametuuliza. Moja kati ya swali ambalo Mungu ametuuliza ni " Tutafanya nini ili...
  14. LIKUD

    Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  15. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Ugomvi: Kwani Wenzetu Hawa Walisomea Nini? - Part 1

    Na. M. M. Mwanakijiji Sikuwahi kuelewa kwanini wakati mwingine mtu anapokuwa na mawazo au ametatizika kimawazo anaanza kujikuna nywele. Au mtu anakuuliza jambo halafu hauna jibu unaanza kujishika kidevu au unakuna nywele hata kama haziwashi! Maswali au mambo mengine wakati fulani yanakwaza na...
  16. GoldDhahabu

    Swali fikirishi: Kanda ya Kaskazini ingelikuwaje endapo utawala wa kimajimbo /Kikanda ungeruhusiwa Tanzania?

    Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika. Ingawa yote hayo...
  17. Mshamba wa kusini

    Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Habari wakuu Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA. shukrani
  18. covid 19

    Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  19. Raymanu KE

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Salute Comrades! Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili. Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially Kama mwanamke husika Ni anakidhi vigezo vyako. Basi kipindi unamtongoza mwanamke Kuna hili swali...
  20. DR Mambo Jambo

    CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

    Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi.. Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
Back
Top Bottom