bachelor

A bachelor is a man who is not and has never been married.

View More On Wikipedia.org
  1. Enosh Ibrahim

    Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness

    Hii kozi ya Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness ina husiana na nini pia soko lake likoje,pia nahitaji kufahamu kama ni rahisi kujiajiri na kuajiriwa
  2. LIKUD

    Ney Wa Mitego You are The True Son Of Your Father. Kwenye hii ngoma yako mpya " Bachelor" umeweza sana kaka. Hakuna swali.

    Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban. A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
  3. EP cosmetics

    Natafuta kazi, nina Bachelor of Pharmacy

    Bado sijapata leseni. Experience: 1 month, internship SUN PHARMACEUTICAL INDUSTRIES LTD. (section: Production and quality functions). Looking for any opportunity available especially in industries and pharmacy, including volunteer. Ninapatikana DAR ES SALAAM. Contact: 0675 111 890
  4. Enosh Ibrahim

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  5. Enosh Ibrahim

    Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani?

    Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
  6. Enosh Ibrahim

    Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  7. fazobonas

    Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya . Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
  8. Chizi Maarifa

    Bachelor of Arse Kissing in Public Relation (Ba. AKPR) Vijana someni hii inalipa sana

    Kuna watu wana Certificates tu lakini maisha wamewin. Wanaendesha maisha vizuri sana. Msing'ang'anie kusoma program ambazo zitawaweka mitaani. Unatakiwa tu uwe umeamua kuacha kutumia akili kabisa. Utumie tu ulimi kulamba makalio ya wakubwa na sole za viatu vyao in Public. Hutakiwi kuwa na...
  9. Nicho8

    Field za Bachelor of science in applied biology

    Wakuu habari zenu. Mimi naomba msaada kwa anayejua ni maeneo yapi ambako naweza fit kwaajili ya kufanya field ya bachelor of science in applied biology kwa mbeya au Arusha. Msaada please kama utakuwa na idea naomba ushee nami🙏✍️
  10. Mjanja M1

    Bachelor unafanya mapenzi mara ngapi?

    Habari zenu, Kijana ambae hujaoa na wala hauishi na Mwanamke ndani, unafanya mapenzi mara ngapi kwa mwezi? MLIOOA /SOGEA TUISHI PITENI KIMYA KIMYA HUU UZI HAUWAHUSU.
  11. Christer Lamark Ichomee

    Ipi kozi bora kati ya Bachelor of Banking and Finance and Bachelor of Economics and Finance

    Je, ipi ni kozi bora na mzuri kati ya bachelor of economics and finance na bachelor of banking and finance Na ningependa kujua kozi hizo zinatoa kazi gani. Yaan ukisoma kozi mojawapo ya hizo unakuwa nani?
  12. C

    Msaada: Vyuo vinavyotoa Bachelor of Science with Education vyenye ada nafuu

    Habari ya asubuhi, naomba msaada wa vyuo vyenye ada nafuu kwa kozi tajwa hapo juu Mbarikiwe
  13. The thinker27

    UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  14. S

    Bachelor of art in philosophy and political science

    (Bachelor's of art in philosophy and political science) mdog wang amechaguliw hii koz ninaomba ufafanuz wa mambo atakayo jifunza na fursa zake kweny soko la ajira!
  15. A

    Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
  16. D

    Naomba kujuzwa Bachelor of Cyber Security

    Jamanii naomba msaada kwa wanaofahamu hii kozi na soko lake hapa nchini. Na je inahusiana na nini hasa?
  17. M

    Kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor ya course yoyote ya afya?

    Habari.... Naomba nisaidiwe kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor yoyote inayohusiana na afya? Naomba msaada wenu
  18. WeedLiquorz

    Bachelor of Technical Education in Civil Engineering

    Salaam WanaJamii. Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course; #Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?) #Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)? #Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja. #Wanaweza kufanya Shughuli zipi mtaani na kwenye mataasisi? Kingine chochote ukijuacho nje ya hivyo unaombwa...
  19. The thinker27

    Ipi bora kati ya Bsc in Environmental Health Science na Bsc in Environmental Science and Management

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt. Je ipi ni bora?
Back
Top Bottom