Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

Enosh Ibrahim

Member
Apr 12, 2024
15
2
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
 
Vp hii kozi inaitaji watu kweli sokoni?
Kazi za data zipo nyingi tu dunia ya leo!! So utajiongeza tu, na utaweza fanya mambo mengi tu mana umesoma hesabu, hesabu inaaminika unaweza pata kazi ata bank, na kwny NGOs mtu wa M&E pia government km mtakwimu
 
Vp

Vp ugumu wake uko wapi?
 
Mchawi uwe konki kwenye namba. Usiwe ulikua umekariri na kufaulu kiujanja.
 
Kumbe inawatu wachache sana na bado inahitaji watu?
Haina watu wachache ila inatolewa na vyuo vya kuhesabika bongo….hii cozi ni km statistics tu, mana ile cozi ina statistics tupu wengine stat na econ wengine math en statistics ila wote mnaonekana km field moja…so ww wa math en stat kwa miaka yetu ile unakua una advntage ya kupata mkopo cozi math ni priority course ya kupata mkopo kwa kipindi kile sijui saiv…pia hii cozi km mishe ikizinfua unaweza kufundisha pia unakua na uwanja mpana
 
Vyuo vinahesabika sana kuna marian university, mwenge university na udsm kwa iyo math en statistics ku na vyuo km eastc udom na mzumbe wao wana statistics za econ na applied stat iyo math hawana
 
Back
Top Bottom