Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

Enosh Ibrahim

Member
Apr 12, 2024
16
3
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
 
Vp
Kazi za data zipo nyingi tu dunia ya leo!! So utajiongeza tu, na utaweza fanya mambo mengi tu mana umesoma hesabu, hesabu inaaminika unaweza pata kazi ata bank, na kwny NGOs mtu wa M&E pia government km mtakwimu
Vp ugumu wake uko wapi?
 
Mchawi uwe konki kwenye namba. Usiwe ulikua umekariri na kufaulu kiujanja.
 
Kumbe inawatu wachache sana na bado inahitaji watu?
Haina watu wachache ila inatolewa na vyuo vya kuhesabika bongo….hii cozi ni km statistics tu, mana ile cozi ina statistics tupu wengine stat na econ wengine math en statistics ila wote mnaonekana km field moja…so ww wa math en stat kwa miaka yetu ile unakua una advntage ya kupata mkopo cozi math ni priority course ya kupata mkopo kwa kipindi kile sijui saiv…pia hii cozi km mishe ikizinfua unaweza kufundisha pia unakua na uwanja mpana
 
Vyuo vinahesabika sana kuna marian university, mwenge university na udsm kwa iyo math en statistics ku na vyuo km eastc udom na mzumbe wao wana statistics za econ na applied stat iyo math hawana
 
Mkuu nahitaji maelezo kwenye kozi ya business statistics and economics inatolewa chuo cha takwimu inatofautiana vp na hii
 
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
Wewe Advance umesoma combination gani ? Je n muajiliwa au ndo fresh from school ? Je n mtoto wa mkulima au Nyumbani atleast hela ya mtaji haisumbui jibu hayo maswali tukushauli
 
Duh!
 
Nimesoma EGM ndy nimemaliza advance pia Ela ya mtaji ni tatizo
 
Mkuu nahitaji maelezo kwenye kozi ya business statistics and economics inatolewa chuo cha takwimu inatofautiana vp na hii
Hii cozi nazani itakua mpya apa bongo, obviously itakua nzuri tu mana utakua na uwanja wa kuapply kazi za statistics, uchumi na biashara of which itakua nzuri sana kwako kuliko math en statistics ambayo mm nimesoma kwenye soko la ajira mimi nlikua natafuta kazi za statistics tupu ila nimepata kazi tyr
 
Mkuu nahitaji maelezo kwenye kozi ya business statistics and economics inatolewa chuo cha takwimu inatofautiana vp na hii
Kingine cha kuongezea statistics ina weza ku apply kwenye field nying sana km za biology, engineering, bussines, agriculture en so on…so utakuta kuna sehemu kuna masters ya biostatistics, so apo kwenye bussines stat is tics utasoma statistics ambayo inaweza kuapply ata kwny biology o any other field ila, wewe utabase zaidi kwny biashara so utakua na course za biashara na namna ya kufanya analysis kwny masoko ya biashara ya kuyachambua naona imekaa kama acturial science flani iyo cozi
 
Back
Top Bottom