course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  2. R

    2023/24 Diploma course

    Kulinganga na wakati tuliofika kitechnology interms of our country Long term Strategies Course ambazo vijana waliomaliza form four Muda mrefu mf 2012 na Wana ndoto ya kujiunga chuo ili walau apate nta 4 or above
  3. Lucas Steven

    Chuo Gani tofauti na veta chang'ombe wanatoa course ya generator service and repair

    Habari members Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao Asante 🙏
  4. Themoneyhollic

    Biashara ya Forex kwa Kiswahili Free course 2024

    ✨ Your Trading Journey Begins Here ✨ Are you ready to dive into the world of Forex and come out a trading champ? 🏆 BIG BOYS CLUB INVESTMENTS is offering a FREE Forex course that you can't afford to miss! https://youtu.be/Em0384gm6d8?si=_i-49mHkNqS8e7fO 📈 Learn the A-Z of Forex trading - from...
  5. REALITY

    Ebooks,softwares and video course

    Hi 1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free. 2.An Ebook that consists of more than 200 google drive links which each consists of a specific computer course...
  6. C

    Je, Muhimbili Kuna course ya clinical dentistry kwa diploma?

    Na kama ipo tuna apply vipi tofauti na wale wanaochaguliwa direct kutoka form 4
  7. S

    Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
  8. M

    Kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor ya course yoyote ya afya?

    Habari.... Naomba nisaidiwe kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor yoyote inayohusiana na afya? Naomba msaada wenu
  9. C

    Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

    Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
  10. Jurrasic Park

    OUT: Foundation course ipoje kwa waliosoma?

    Habari, Naomba mwenye kujua course ya foundation kiundani anisaidie maana naona juhudi zangu zinafikia mwisho maana nilimaliza chuo mwaka 2016. Ninapotarajia kwenda kujiendeleza, niliomba AVN nikajikuta nina gpa ya 2.9. Mwenye kuijua foundation course aniambie ili nijue najipangaje,
  11. draxer777

    Msaada: Tofauti kati ya kozi ya civil and transport engineering na civil engineering ni ipi?

    Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
  12. D

    Ushauri wa course za afya

    Jamani habari zenu wajuvi wa mambo. Nina mjomba wangu amehitimu 2022 form 6 PCB alipata CCD. Sasa anaforce mambo ya course za afya na anaomba ushauri wa kozi gani ina soko la uhakika kati ya md na pharmacy. Kuhusu vyuo nimemwambia apply private ndo atatoboa na sio public kwa sababu za...
  13. Nyuki Mdogo

    Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

    Benki ya KCB imetoa fursa ya mafunzo kwa vitendo na ujasiriamali kwa kushirikiana na vyuo vya kati (VETA na SIDO) Course za miezi mitatu zitakazofundishwa ni Tembelea website ya KCB kujisajili ONLINE na kusoma vigezo na masharti Mwisho ni tarehe 26 July.
  14. Chale david

    Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  15. W

    Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Wadau habari za Muda huu, Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4 Anataka kusoma Masters lengo lake ni kubadili kada kutoka ualimu au kupanda ngazi na kutoka kwenye kufundisha aende kwenye...
  16. D

    Msaada nahitaji kusoma programming language short course

    Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
  17. navah

    Nisaidieni kujua hizi kozi

    i) C28 II) C40 III) Latra iv) Comesa v) Insurance vi) Fire safety sticker Kuna tangazo la kazi nimeona inahitaji mtu awe na mzoefu wa kazi katika vitu hivyo hapo juu. Kama kuna mtu yeyote anajua naomba anicheki tusaidiane kupeana kwownledge kama learning books and tutorial videos.
  18. DR HAYA LAND

    Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni udaktari Kilimo na uvuvi Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi ule wa disco sound Watu wanaumwa kila siku magonjwa kibao madaktari wanatafutwa huku kwenye Elimu...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Short course ya Siasa miezi mitatu.

    SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU. Anaandika, Robert Heriel Mkufunzi Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio Mpango mzima, asije akakudanganya mtu Cheti cha Siasa ni zaidi ya Cheti cha upolopesa. Acha...
Back
Top Bottom