Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,080
- 94,834
Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu.
Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi
Kwa mtu yeyote aliyetembeatembea kidogo anajuwa vizuri ukiwa ughaibuni kuna club za wavuta cocaine, humo ukiingia nyimbo zao wanazijuwa wenyewe.
Ukiwa Mtanzania lazima utaambiwa club za kwenda ili upate fleva unazopenda.
Lakini cha kushangaza sasa hivi tuna pub mitaani ukisema nikapate bia za kukemea uzee utashangaa huo mziki unaopigwa hapo na wenyewe ndio wanamshangalia DJ.
Je ni mimi ndio nimepitwa na wakati au hawa vijana ndio hakuna walijuwalo?