bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  2. A

    Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
  3. Ibanda1

    Usitumie "Reviews" kama kigezo cha kununua Bidhaa mtandaoni utajuta

    Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...
  4. Ibanda1

    Usitumie "Reviews" kama kigezo cha kununua Bidhaa mtandaoni utajuta

    Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...
  5. Kaka yake shetani

    Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
  6. L

    Bidhaa za China kuwa na soko kubwa barani Afrika ni jibu zuri dhidi ya madai kwamba eti "Uzalishaji kupita kiasi"

    Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
  7. Masokotz

    Bar Code Sticker na Product Label kwa Ajili ya Bidhaa zako

    Habari za Wakati huu. Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali? Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea huduma ya Kuchapisha Bar Code Sticker na Label kwa ajili ya Bidhaa zako. Huduma hii itakuwezesha...
  8. Sharo empress

    Mpangilio mzuri wa bidhaa zako utakuongezea mteja mpya mmoja kila siku

    Vutia wateja wengi kwa kuboresha mpangilio wa bidhaa zako....... kwa shelves bora na za kisasa kutoka kwetu, Una jiuliza bei yake ni ngapi? Sasa, Gharama ya double shelves ni 550,000/= ( Bila vat ), Ukilipia 600,000/= unapatiwa na risti yake....... Single shelve yenyewe bei yake ni...
  9. Offshore Seamen

    Muitikio mdogo wa kusafirisha bidhaa nje ya nchi (Exportation)

    Tqnzania tuna bidhaa nyingi za kilimo,uvuvi,misitu na madini zinazo hitajika nje ya nchi. Kwenye kuagiza(Import) tumekuwa na kiwango kikubwa cha kuingiza bidhaa kuliko kusafirisha nje (export). Kwenye kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja Tanzania (Import) wafanyabiashara na waagizaji wa...
  10. Yoyo Zhou

    Bidhaa za kijani za China zata wateja wengi wa nchi za nje katika Maonesho ya Canton

    “Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  12. K

    Unadhani uchumi utakua endapo bidhaa inayozarishwa nchini inakodi kubwa na ile inayotoka nje free tax?

    Tunadanganyan sana ikifika swala hili,nikazi kwa uchumi wa nchi kukua kama bidhaa inayozarishwa nchini iko juu kifedha kulinganisha na ile inayoingia kutoka nje. KWANINI- Sababu bidhaa ya ndani ikipelekwa nje inaenda kuuzwa kwa dollar hivyo kuongeza mzunguko wa fedha za kigeni nchini kitu...
  13. K

    Matarajio ya Rais Samia kwenye Utalii ni makubwa, tumsaidie ku-brand utalii kama bidhaa

    Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii. Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini...
  14. U

    Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea

    ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0. wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...
  15. Aramun

    Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

    Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa. Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka kwenye huo usingizi mzito basi miaka 20 ijayo jamii itakuwa na kizazi cha ajabu sana, na msidhani...
  16. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inafanya Tathimini ya Uwezekano wa Kupanga Bei Moja ya Bidhaa za Petroli Nchi Nzima

    SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
  17. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  18. G-Mdadisi

    Pengo la Upatikanaji huduma za kifedha na bidhaa lapungua 2023

    PENGO la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika kupata huduma rasmi za kifedha na bidhaa limepungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 10 mwaka 2017 hadi asilimia 3.6 mwaka 2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Wanawake ya Ujumuisho wa Kifedha (WACFI), Bi. Beng’I Issa amesema hayo...
  19. Tommy 911

    Biashara ya bidhaa kutoka China

    Habarini WanaJF, Nina mtaji wa laki moja na elfu hamsini nataka niagize bidhaa KUTOKA CHINA. Je, ni bidhaa gani nikiagiza itanipa at least faida ya nusu ya mtaji wangu? Napokea ushauri wenu Asanteni🙏
Back
Top Bottom