Nipende kushiriki katika stories of Change kama mdau wa JF. Kama vijana na wananchi wa Tanzania kunamambo ambayo tungependa kuona Nchi yetu ikiyazingatia hasa katika kuendana na dhima kubwa ya Sayansi na Teknolojia. Ninamambo machache tu kushiriki nanyi.
1. Kuwepo na kitambulisho kimoja ambacho...
Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni chache zenye odds za 1.01 yani ukiweka laki ushinde buku lakini ukija kwenye website zao wanadanganya...
itakayo weza kukupa uhakika wa matumizi ya simu yako
Vaa mkanda twende pamoja
🔋💡 Chaji Bila Wasiwasi na Green Lion 22.5W Power Bank 💡🔋
Karibu kwenye thread yetu kuhusu power bank ya Green Lion 22.5W! Mimi ni Abubakari muuzaji wa power bank za Green Lion, na nataka kushiriki nawe kuhusu...
Ndio tittle ya uzi huu...
Sote tunajua matokeo ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupelekea vijana wengi kutumia fursa hio vizuri wengine wanatumia vibaya.
kuna watu wanatumia teknolojia kuiba, kutapeli na mengine kama hayo , kesi nyingi za kitapeli tumeziona kila kona pasina ukomo wake...
Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara!
Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika.
Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah.
2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo.
Je tutamkumbuka kwa lipi...
Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali.
===
Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri.
Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani
Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera...
Mafuta
Vyakula
Madini
Usafirishaji
Fedha
Media
Elimu
Afya
Dini/kanisa
Michezo
Utalii
Mifugo
Vifaa vya ujenzi
Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha.
Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI.
CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆
Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu
Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo...
Habari za Jioni wana Jamio Forums.
Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k.
Pia kwa kufanya hivyo...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo.
Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati wa kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuangalia namna ya kutengeneza barabara za zitakazodumu muda mrefu maeneo ya vijijini.
Mwigulu amesema hayo alipojibu hoja ya dharura ya mbunge wa Rorya, Jafar Chege aliyeomba mwongozo...
Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi.
Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani...
Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.
Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.
GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.