mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    MPYA Mwigulu Chemba: Hakuna wizi Serikalini

    Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana. Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini? Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
  2. mbongowakweli

    Waziri Mwigulu: Kuna Bilioni 48 Wajasiriamali mtakopeshwa

    Waziri Mwigulu asema ‘Wajasiriamali kuna Bilioni 48 mtakopeshwa’ Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, kwa mwaka 2024, Mfuko wa Huduma Ndogo za Fedha – SELF unatarajia kutoa mikopo yenye masharti nafuu ya shilingi bilioni 48 kwa Wajasiriamali 48,000. Akiwasilisha Makadirio ya Mapato...
  3. Pfizer

    Dkt Mwigulu, Juma Aweso na Emmanuel Cherehani, wameshuhudia utiaji saini mradi wa Bilioni 44 wa maji ya ziwa Victoria

    DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA WA BIL 44 - USHETU Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani wameshuhudia utiaji...
  4. J

    Mwigulu: Mkataba wa EPC+F ni Technical sana

    Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa. Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima Mdee kuzuia shilingi ya mashara wa wàziri wa ujenzi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa mkataba huo wa...
  5. Aramun

    Kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January hakiwezi kutuletea maendeleo yoyote, kizazi cha akina Makonda, Hapi ndicho kina kitu ndani yao

    Uzi huu nauandika nikiwa nimebanwa nkaa kwenye mwendokasi. Na nimepanda mwendokasi kwa sababu sina jinsi maana route ya daladala iliuawa kutokea town centre kuelekea Ubungo hadi Kimara. Hivyo ndivyo maono yangu yanavyonituma. Kwamba hiki kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January, kamwe hakitakaa...
  6. Uzalendo wa Kitanzania

    UTEUZI Rais Samia Amteua na kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa mjumbe tume ya mipango

    Wadau hamjamboni nyote? Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango Taarifa kamili hapo chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi...
  7. R

    Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  8. K

    Mwigulu unampigia nani kelele bungeni

    Mwigulu amekuwa alitoa hoja kwa hisia kali sana na kupiga kelele kama vile anaongea na wezi. Wabunge karibu wote ni fake wa chama chako sasa lawama za nini na kwa nani hasa. Makelele makalele ni kwa nani? Hivi hakuna watu wengine wangeweza kufanya vizuri kuliko jamaa huyu ambaye ameshaanza...
  9. S

    Mwigulu Nchemba na BOT, mnashindwaje kuwabaini wanaokopesha mitandaoni(digital lending) wakati wanatumia menu za mitandao ya simu kulipwa hela zao?

    Nilisiliza maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Bungeni kuhusu mikopo uumiza na wanaofanya biashara ya kukopesha bila leseni, na pia nimesoma tangazo la Benk Kuu(BOT) la tarehe 13/05/2024 linalopiga marufuku kufanya biashara ya kukopesha mitandaoni bila kuwa na leseni, nimebaki...
  10. Dalton elijah

    Mwigulu Amelihakikishia IMF kuhusu Maboresho ya Sekta Mbalimbali

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na mipango yake kwa kuhakikisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo sekta za elimu na afya zinapewa kipaumbele katika Bajeti ya...
  11. R

    Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  12. N

    Dkt. Mwigulu Nchemba na Ally Happy wanavyoliweka mkakatini Jimbo la Iramba 2030

    Jamaa wanatengeneza makubaliano kuwa mwaka 2030 wakati Dr. Lameck Madelu Mwingulu Nchemba anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bwana Ally Happi anakuwa Mbunge wa Iramba na anateuliwa kuwa Waziri.
  13. Evody kamgisha

    Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  14. L

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa. Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
  15. R

    Mwigulu ni timu Mama au ni timu 2030?

    Mwigulu Nchemba ameandika kwamba alifahamu kwamba mwaka 2024 Mh. Rais atachafuliwa mitandaoni. Ameeleza mambo mengi aliyofanya Mhe. Rais, Najiuli amefahamu vipi uwepo wa wachafuzi 2024? na hao aliowasikia ni kina nani? Ikumbukwe nyuma ya harakati za uchaguzi wapo watu wameanza kuona wanaweza...
  16. Erythrocyte

    Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

    Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi. Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
  17. S

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme...
  18. L

    Tetesi: Ali Hapi kwenda kumng'oa Mwigulu jimboni Iramba 2025

    Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho aliyoifanya na kupiga picha na bibi huyo inasemekana imezalisha jicho la kuonwa na mama na kupewa...
  19. P

    Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
Back
Top Bottom