uchumi wa kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Tangu lini Idd ilisherehekewa kwenye vivuko? Huu ndio uchumi wa Kati? Mwigulu tunaomba majibu

    Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi. Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani umasikini ni dhambi na ni laana kuu hatutakiwi kujivunia.
  2. The Sheriff

    UN: Uganda imekidhi kuwa nchi ya uchumi wa kati wa chini (lower-middle income) baada ya kuboresha afya, elimu na viwango vya kipato kwa wananchi

    Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa Uganda imekidhi vigezo vya kuorodheshwa kama nchi ya kipato cha kati cha chini (lower-middle income) baada ya kuboresha kwa kiasi kikubwa afya, elimu na viwango vya kipato vya wananchi wake. Bibi Susan Ngongi Namondo, mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini...
  3. S

    "Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

    Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi? Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo. Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu...
  4. Kijakazi

    Tanzania Uchumi wa kati ulitoka hapa kwa huyu!

    kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake. fikiria kampuni kubwa leo hii tanzania kama nmb, crdb, tanzania breweries, tanzania cigarretes hata tra zote ni kwa...
  5. Msanii

    Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

    Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati. Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
  6. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Bado tupo Uchumi wa Kati

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba Tanzania bado imeendelea kuwa Nchi ya uchumi wa kati ngazi ya...
  7. J

    SoC03 Changamoto za Uchumi wa Kati

    UTANGULIZI. Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali Kama viwanda,Kilimo, biashara na uchumi na kuongeza pato la nchi kwa haraka,hivyo kuachana na hali ya...
  8. The Burning Spear

    Sababu ya pekee Tanzania kufika uchumi wa Kati hii hapa

    Sina maneno mengi, kiufupi hatupaswi kulemba mwandiko Wala kuoneana aibu. Tuache ushikaji Katika KAZI. Tusimamie rasilalimali zetu na mikopo tunayopewa ipasavyo. Enzi zile nyeusi ilikuwa nyeusi na nyeupe ilikuwa nyeupe, pamoja na janga la corona Lakini tulitoboa. Kwa sasa ni tofauti nyeusi...
  9. F

    Kitendo cha Profesa Muhongo kusema hatupo tena uchumi wa kati na Waziri Mwigulu kupinga huku Rais akikubali ni ishara kiimani na kisiasa

    Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading) Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
  10. Suzy Elias

    Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

    Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?! Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati. NB: Teknolojia.
  11. M

    Msaada wa Mabati ya uchumi wa kati yenye kiwango

    Habari wadau....Naomba uzoefu na ushauri kuhusu mabati ya Uchumi wa kati kwa kampuni za Alaf, Sunshare na Dragon
  12. E

    SoC02 Mama na uchumi wa kati

    Mama ni mwanamke mwenye jukumu la kulea familia. Miaka ya nyuma katika jamii za kiafrika mama alikuwa hapewi kipao mbele katika suala zima la maendeleo, kazi yake kuu ilikuwa Ni kuzaa na kutunza familia jambo ambalo ni yofauti na sasa. Kutokana na mabadiliko ya kisiasa kiuchimi na kiutamaduni...
  13. Lady Whistledown

    Benki ya Dunia yakanusha Uganda kuingia uchumi wa Kati

    Benki ya Dunia imesema pato la kila mwananchi wa Uganda ni dola 850 kwa mwaka wa fedha unaoishia 2022, huku uchumi ukikua kwa wastani wa asilimia 3.7 ambapo ni chini sana ya kiwango cha chini cha kipato cha kati cha dola 1,045 ambacho kilielezwa na Rais Yoweri Museveni katika Hotuba yake kwa...
  14. T

    Naibu waziri: Nchi yetu haijawahi kushuka uchumi wa kati chini ila uchumi wa wananchi ndio umeshuka

    Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%. Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
  15. Lord OSAGYEFO

    Kilimo cha jembe la mkono kwa Nchi ya Uchumi wa Kati

    Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari. Tanzania ni nchi yenye misitu Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi Tanzania ni nchi yenye...
  16. MK254

    Hongereni Uganda kwa kuingia uchumi wa kati

    Kainchi kadogo ila wanajituma... Uganda has reached the middle-income status despite an onslaught of crises in the past three years, President Yoweri Museveni said on Tuesday. According to official data, the nation’s economy stood at about $45.7 billion by the exchange rate method or $131...
  17. Jidu La Mabambasi

    Uchumi wa Kati umeenda wapi?

    Yule mzee alikuwa fiksi sana. Kwa ku stage manage mambo na kuaminisha uongo, alikuwa hajambo.
  18. W

    World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

    Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
  19. John Haramba

    Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    “Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule. “Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani...
  20. The Sheriff

    Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
Back
Top Bottom