gizani

Squalius ghigii, the Rhodes minnow, is a species of freshwater fish in the family Cyprinidae, also known as the gizani or ghizáni. It is currently considered to be endemic to the island of Rhodes, Greece. Its natural habitats are rivers, intermittent rivers, freshwater marshes, freshwater springs, and water storage areas. It is threatened by habitat loss.
Some authors have included the species in the genus Ladigesocypris.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Kwa style ya viongozi wa namna hii, nchi yetu itaendelea kukaa gizani

    FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.! Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa. Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia...
  2. HONEST HATIBU

    SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
  3. MINING GEOLOGY IT

    Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  4. JanguKamaJangu

    DOKEZO Jengo la Abiria Stendi Kuu ya Magufuli halina umeme siku ya pili, Watu wapo gizani

    Naomba ujumbe huu mfupi tu uwafikie wanaohusika kuwa hapa kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal), upande wa jengo la abiria na sehemu nyingine kadhaa hakuna umeme. Leo ni siku ya pili sasa hali bado ni tete, hakuna umeme na usiku usalam wa abiria unakuwa shakani...
  5. Lady Whistledown

    Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Wananchi katika Mji Mkuu wa Freetown, na Miji mingine nchini humo wamelazimika kukaa gizani kwa Siku 7, baada ya Watoa huduma za Umeme kusitisha Huduma kutokana kutolipwa kwa muda mrefu Kampuni ya Kituruki ya Karpowership, inayotoa sehemu kubwa ya umeme wa Freetown, imesimamisha huduma zake...
  6. R

    Wafuasi wa chama cha Mapinduzi hasa vijana kwanini wanashindwa kukemea matusi mitandaoni? Au wapo mstari wa mbele gizani?

    Mitandao ya kijamii hasa instagram kuna majibizano makubwa yanaendelea. Kadri siku zinavyokwenda wafuasi wa CCM aidha kwa kufahamu magile yao ni machafu au kwa nidhamu ya woga wamekuwa siyo silaha nzuri katika kukemea uovu. Viongozi na celebrities wengi wanaoendekeza uchawa wamekosa confidence...
  7. D

    Gongo la Mboto hakuna umeme siku mbili, CCM mbele kwa mbele

    Huku gongo la mboto siku mbili mfulilizo hakuna umeme mpaka Sasa. Halafu nchimbi anawaalika eti wapinzani waemde kuzungumza kwa hoja. Dunia ya Leo mnakatiwa umeme siku mbili na Bado ukiwabia watu waandamane waungane na chadema wanakwambia ccm bele kwa mbele. Aise sisi waafrica tumelaaniwa na...
  8. Msanii

    Kutoka uchumi wa kati hadi kupapasa gizani tumepiga hatua

    Kabla Shujaa Mwendazake hajatuaga, tuliambiwa nchi imepaa na sasa tupo uchumi wa kati. Baada ya ziara zenye tija za Mama, ambazo hakika zimefungua nchi na uchumi kupaa sana tumefkia hapa leo nchi kuwa gizani Nyerere alitufundisha na kutuasa kuwakataa hawa wapuuzi wanaolizamisha Taifa bila...
  9. Teko Modise

    Yuwapi January Makamba wakati huu nchi ikiwa gizani?

    Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya? Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates. Yuwapi Januray Makamba?
  10. The Burning Spear

    Maaskofu huwa hawarushi jiwe gizani!

    Kuna watu huwa wanasema maaskofu wanapiga kelele. Wanapinga hiki na hiki, subiri nikwambie, ninavojua hawa jamaa ni intelligent enough. Wanajua in/out zote na huwezi kuwachenga kwa lolote lile. Na wakishasemea jambo huwa hawarudi mara kwa mara ila wewe mwenyewe utaona matokeo. They never speak...
  11. Crocodiletooth

    Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

    Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini. Kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa. Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa. Mifumo yote...
  12. P

    SoC03 Mh. Nuru kuweka mwangaza gizani

    Mh. Nuru kuweka mwangaza gizani Katika Kijiji kimoja cha Tutafika , nchi ya Gizani, kulikuwa na kiongozi wa kipekee aliyeitwa NURU GIZANI, Jina lake lilimaanisha "kufunuliwa au kuondolewa Kwa maskini" ambapo Gizani ni umaskini na shida zote ", na Nuru ni ujasiri na kujituma kwake. Alivutia na...
  13. M

    Ndiyo tuheshimu kauli ya Rais, lakini ni ile isiyokinzana na sheria! Vinginevyo tutatembea gizani

    Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na kutokuitii katiba ambayo imemweka madarakani. Huo ni upande mmoja wa shilingi. Upande wa pili ni kwamba Rais...
  14. On Duty

    Vijana wa namna hii wanapatikana DSM pekee

    Wasaalam ndugu zanguni, Katika tafiti zangu ambazo nimekuwa nikizitafiti takribani miaka isiyopungua kumi(10). Nimekuja kugundua kwamba hawa vijana wa hapa DSM ni mzigo usio wa kawaida. Ukipita mitaa ya Mwananyamala, kigamboni, kimara, makumbusho , kinondoni yaani hawa vijana sijui wapo...
  15. Nyankurungu2020

    Rais Samia tunasheherekea uhuru wa Tanganyika gizani? Hakuna umeme mitaani. Hii aibu

    Leo watoto walitakiwa waone kwenye luninga historia ya taifa lao. Lakini wewe na January mmekata umeme. Kwa nini msituonee huruma japo hata kwa leo tu siku ya uhuru. Watu wapo nyumbani wanahitaji kuangalia luninga na kujikumbusha na uhuru wa taifa lao
  16. sajo

    Wakati Ripoti ya Mwakyembe bado gizani, Law School of Tanzania waendelea kunoa 'wembe'. Watangaza ratiba ya mitihani inayohusisha supp

    Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
  17. YEHODAYA

    Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme

    East Africa News Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme ======= Summary The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires. The supposed wealth vanished in a matter of hours as they looked on helplessly. The last message BLQ Football Club...
  18. Kandoro sk

    SoC02 Agano la gizani

    Kwa kadiri kumbukumbu inanifikia, najikuta ni msafiri ambaye amepita maishani, niligonga milango yake mlango kwa mlango, na nikavuka nchi zake nchi kavu, na nikachukuliwa kutoka hapo na kushoto, na sikupata chochote isipokuwa kukata tamaa , huzuni na kuchoka. Kwa kadiri ninavyoweza kukumbuka...
Back
Top Bottom