tusaidiane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja CoLtd

    Wataalamu wa hisabu na sisi wenye DD tusaidiane kupata majibu hapa

    Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
  2. Hakuna anayejali

    Ninaswali kwenu wanajamvi tusaidiane hapa.

    Nimevumilia tunavyonangwa wanaume sasa unyonge basi..Mwanaume akimwaga mbegu ndani ya dakika2 mnasemavanatatizo,je mwanaume unayemsuguwa ndani nje mara10tu ameshakojowa ndani ya dakika2 na anasema amechoka tusemeje?
  3. Mhafidhina07

    Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati. Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
  4. Komeo Lachuma

    Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
  5. Trubarg

    Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
  6. Pridah

    Tusaidiane kujua kampuni nzuri za uhakika kwa ajili ya bima za nyumba

    Habari. Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame. Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
  7. D

    Muliro kuongezewa muda kazini baada ya kustaafu akitenda kosa atashtakiwa kama raia au askari?

    Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili. Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
  8. Fabian Vitus

    Kitendo cha mzazi kukulazimisha uwahi kuoa husababishwa na nini wana jukwaa tusaidiane hapa?!

    Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano. Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo...
  9. NetMaster

    Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

    Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable. Huwa nasikitika sana nimenunua nguo lakini nikifua tu mara mbili ama mara tatu ni hohe hahe, nguo inakuwa imeanza kufifia na...
  10. Mhafidhina07

    Uso wangu una vidude vyeusi, nisaidieni dawa

    Ndugu zangu Naomba kwenda direct to the point uso wangu una vidude vyeusi kama vitano exactly sijui vinaitwaje please kwa anayejua tusaidiane dawa.
  11. On Duty

    Vijana wa namna hii wanapatikana DSM pekee

    Wasaalam ndugu zanguni, Katika tafiti zangu ambazo nimekuwa nikizitafiti takribani miaka isiyopungua kumi(10). Nimekuja kugundua kwamba hawa vijana wa hapa DSM ni mzigo usio wa kawaida. Ukipita mitaa ya Mwananyamala, kigamboni, kimara, makumbusho , kinondoni yaani hawa vijana sijui wapo...
  12. S

    Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

    Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako! Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo. Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
  13. D___________Loy

    Wataalamu wa Softwares za Laptop tusaidiane

    Habari wana jamvi, Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail kwa sababu nisizozifahamu. Kila nikijaribu nakutana na mambo yafuatayo 1. Disconnected 2. Outlook...
  14. Akilihuru

    Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  15. Lanlady

    Kama kweli ni chaguo la Mungu, tusisingizie vita/ tabia nchi

    Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
  16. Gavano23

    Usalili wa TA INFORMATION SYSTEMS IFM

    Wale wadau wa IT em tusaidiane mawazo jana nilifanikiwa kufanya mtihani wa TA information systems IFM lakini cha kunishangaza nilikutana na pepa ya system administrator...mpaka kuna swali 1 linasema as system administrator ......je hili ni sahihi? Au ni uhuni wa utumishi ktk kuendesha michakato...
  17. Samahani

    SoC02 Njooni wataalamu wetu wenye bahasha tusaidiane

    KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Dondosha hapa changamoto yako ya mapenzi ya ujanani tusaidiane kuitatua

    Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani. Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa na Pesa, elimu ya kutosha wala sikuwa na biashara yoyote. Kanisani sikuwa nadhicu, mavazi yangu...
  19. H

    Nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono

    Wakuu habari za mchana, Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono. Hivyo nikawaza nikiwa kijijini tulikuwa tunatumia jembe la kukotwa kwa ngómbe (Plau) hivi hakuna namna...
Back
Top Bottom