naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  2. uhurumoja

    Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
  3. RUKUKU BOY

    Niliomba kazi kimasihara naona ntaipata na siko motivated

    Wakuu vipi, Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple. Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit. Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo ...
  4. Kang

    alx Africa naona sasa kuna fee ya kujiunga

    Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana. https://www.alxafrica.com/payment-cancellation-policies/ Tuliwahi kujadili alx hapa...
  5. P

    Naona wafrika weusi ni binadamu hatari sana

    Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
  6. Mgosi Mbena

    Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

    Wakuu hii ikoje, Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara. Au mimi ndiyo naweweseka
  7. R

    Watendaji wa kata ni Makada wa CCM au ni watumishi wa umma? Naona Arusha wamevaa sare za chama na wanaandamana

    Mrisho Gambo ameongoza maandamano ya madiwani, wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata. Kwa ufahamu wangu watendaji wa kata ni watumishi waajiriwa wa serikali kama walivyo waalimu sambamba. Je, ni sahihi wao kama watumishi wa umma kuvaa nguo za chama na kuandamana? Lakini maandamano si...
  8. Mbahili

    Baada ya miaka mingi kupita, leo ndiyo naona athari ya Nyota ndogo

    Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo.. "Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii. Ooooh kuna watu wasiopenda maendeleooo. Oooo ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiiii... Oooh achana nao...
  9. THE FIRST BORN

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga. Kuna kauli Nyingi...
  10. G

    Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
  11. B

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja? Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani. Nikurudishe nyuma kidogo. Mambo mema...
  12. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu naona analazimisha Mwenyewe kwenda mazima Mavumbini ( Udongoni ) kwa Ushamba, Ujinga na kwa Kukurupuka Kwake

    Akimaliza huu mwaka atakuwa na ana bahati sana, ila nina uhakika kwa mwaka 2025 tunaweza tusiwe nae mazima Ok?
  13. Zero Conscious_

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  14. Mjanja M1

    Jirani sijakualika Idd kwanini hauondoki kwang? story haziishi

    Ni kweli sisi ni majirani lakini kwanini tokea asubuhi upo hapa kwangu na wakati sijakualika? Jirani kwanini unakuwa hivi lakini? Yani tokea asubuhi unabadilisha story tu mara Treni ya Umeme, mara Goli la Yanga, mara Radio ya Alikiba na hauna dalili ya kuondoka.
  15. LIKUD

    Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  16. G

    Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran. Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran. Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili...
  17. Genio the great

    Alikiba kakumbwa na nini mbona naona anajadiliwa sana leo?

    Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi taarifa. Asante.
  18. Mhafidhina07

    Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  19. chiembe

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  20. DeMostAdmired

    Tangu nipone red eyes naona Picha mbilimbili (double images)

    Habari wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Ilikuwa jumanne ilopita tarehe 12 mwez huu wa 3 niliamka jicho la kushoto linachoma choma na kutoa machozi na tongotongo kidogo nikajicheki kwenye kioo nikaona limekuwa jekundu basi moja kwa moja nikajua hii red eyes (conjunctivitis). Nikaanza...
Back
Top Bottom